Wazinzi mwanza wapatanishwa kwa kufanya sherehe kubwa Mwanza

Nyamwaga

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
454
118
Katika hali ya kushangaza hapa mwanza ktk eneo la nyakato ktk Bar ya S&D jana kulifanyika sherehe kubwa ambayo iliambatana na uchinjaji wa ng'ombe wawili na vinywaji mbalimbali ikiwemo kreti 50 za bia ili kuwapatanisha wafanyabiashara wawili ndg. Riziki na ndg. Maduhu ambao walipigana mwezi uliopita na kujeruhiana vibaya ktk sehemu mbali mbali za mwili na hata kufikisha ktk vyombo vya sheria hali iliyotokana na kugombania mwanamke anayedaiwa kuwa ni mke wa mtu. Je ni sahihi kweli kufanya sherehe kwa jambo la kipuuzi kama hili na kupoteza fedha nyingi kiasi hiki kwa watu wasio wadhirifu ktk ndoa zao ?................changia
 
Si ni bora wangesaidia watoto yatima?

wamefanya vizuri. kwa sababu sasa wamejitambulisha kwa umma kuwa ndivyo walivyo. ukiwaona na mtu wako wa karibu hasa wa jinsia tofauti uwajue ni mastaa wako kazini. uweke alama na umwambie mhusika kuwa wameshapitiwa na kufundishwa soka na manguli. upo?!!!!!!!!!!!
 
Katika hali ya kushangaza hapa mwanza ktk eneo la nyakato ktk Bar ya S&D jana kulifanyika sherehe kubwa ambayo iliambatana na uchinjaji wa ng'ombe wawili na vinywaji mbalimbali ikiwemo kreti 50 za bia ili kuwapatanisha wafanyabiashara wawili ndg. Riziki na ndg. Maduhu ambao walipigana mwezi uliopita na kujeruhiana vibaya ktk sehemu mbali mbali za mwili na hata kufikisha ktk vyombo vya sheria hali iliyotokana na kugombania mwanamke anayedaiwa kuwa ni mke wa mtu. Je ni sahihi kweli kufanya sherehe kwa jambo la kipuuzi kama hili na kupoteza fedha nyingi kiasi hiki kwa watu wasio wadhirifu ktk ndoa zao ?................changia

Huko Mwanza kuna mgogoro wa Kuchinja je nani alichinja ng'ombe ?????????????
 
Nadhani hapo sherehe in order,walikuwa na ugomvi sasa wamepatana kwa nini wasijipongeze?wewe unaelekea ugomvi unaupenda sana!
 
ningekuwa ningechangia kreti za bia,mbuzi 1,na soda kreti 1, binafsi sipend watu wagombane na wanapopatana uwa nafurahi sana
 
Katika hali ya kushangaza hapa mwanza ktk eneo la nyakato ktk Bar ya S&D jana kulifanyika sherehe kubwa ambayo iliambatana na uchinjaji wa ng'ombe wawili na vinywaji mbalimbali ikiwemo kreti 50 za bia ili kuwapatanisha wafanyabiashara wawili ndg. Riziki na ndg. Maduhu ambao walipigana mwezi uliopita na kujeruhiana vibaya ktk sehemu mbali mbali za mwili na hata kufikisha ktk vyombo vya sheria hali iliyotokana na kugombania mwanamke anayedaiwa kuwa ni mke wa mtu. Je ni sahihi kweli kufanya sherehe kwa jambo la kipuuzi kama hili na kupoteza fedha nyingi kiasi hiki kwa watu wasio wadhirifu ktk ndoa zao ?................changia

Cha ajabu ni nini, watu wamegombana, baadaye wanakuja kugundua kuwa walikuwa wanagombea aujinga, wanaamua kusuruhishana na kusherehekea wewe inakuuma nini? Au walikuja kukuchangisha? HUU NAO UJINGA!
 
Katika hali ya kushangaza hapa mwanza ktk eneo la nyakato ktk Bar ya S&D jana kulifanyika sherehe kubwa ambayo iliambatana na uchinjaji wa ng'ombe wawili na vinywaji mbalimbali ikiwemo kreti 50 za bia ili kuwapatanisha wafanyabiashara wawili ndg. Riziki na ndg. Maduhu ambao walipigana mwezi uliopita na kujeruhiana vibaya ktk sehemu mbali mbali za mwili na hata kufikisha ktk vyombo vya sheria hali iliyotokana na kugombania mwanamke anayedaiwa kuwa ni mke wa mtu. Je ni sahihi kweli kufanya sherehe kwa jambo la kipuuzi kama hili na kupoteza fedha nyingi kiasi hiki kwa watu wasio wadhirifu ktk ndoa zao ?................changia

Lazima wafanye sherehe kubwa katika kupatana manake kwa kukosana kwako kumeingiza hasara ya mamilioni ya shilling pamoja na wapambe wao kwa sababu hawakuweza kuendeleza biashara yao kwa pamoja,kwa hiyo wape big up
 
Hawa jamaa na kundi lao katka hali ya kawaida tu wanachinja mbuzi karibu kila j2 kuna bar moja kule nyegez maeneo ya sweya beach inaitwa gamba kwa mwenzao pia,huwa wanakula bata mrefu na warembo wazuri mezani ni chupa kubwa kubwa tu.... Wacheni wagombane, wapatane anyway z part of their life.
 
Wametekeleza vema Hongera zao watoto wa kike na nyie igeni mfano huu na si kuendeleza bifu
 
Back
Top Bottom