Recent content by Ancient Knowledge

  1. A

    JamiiForums Tanzania Uitaji wa Vifaa vya saloon ya kike mbeya

    Habari Wana jf naitaji mtu au Duka wanalo uza vifaa vya saloon ya kike mbeya kwa bei nafuu kabisa, asante
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kuomba kazi ndani ya mkoa wa MBEYA

    Naweza kaka, japo sina ujuzi sana
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kuomba kazi ndani ya mkoa wa MBEYA

  4. A

    JamiiForums Tanzania Kuomba kazi ndani ya mkoa wa MBEYA

    Tasisi za Elimu kaka, hasa private.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kuomba kazi ndani ya mkoa wa MBEYA

    Habari ndugu zangu wa Jammi Forum, mimi ni kijana wa miaka 29, mwenye uzoefu wa kusimamia watu na tasisii kwa miaka 7, saizi sina kazi, naomba kazi yoyote ndani ya mkoa wa Mbeya, kazi yoyote nipo tayari. Asante.
  6. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Watalaamu tushafika, ehne kijana unataka ushauri gani, uyo ndo mke wako saiz
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mbona amna sasa
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii inatoa bro. Naunga mkono
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ndiyo kateuliwa lakini hapendwi na wengi

    Punguza jaziba mkuu. Nobody knows kesho
  10. A

    JamiiForums Tanzania Burna Boy kwenye albamu ya Justin Bieber

    Okay Ngareroo. Thanks
  11. A

    JamiiForums Tanzania Burna Boy kwenye albamu ya Justin Bieber

    Naweza kuipataje hii album jamani
  12. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Bila samahani mkuu, sema tu sipo sawa baada ya kifo cha mkuu
  13. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Apps nzuri ya kuficha Picha na SMS

    Punguza jaziba mkuu.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Apps nzuri ya kuficha Picha na SMS

    Hii nimeiona ila aifichi SMS
Back
Top Bottom