Recent content by ANAUPIGA MWINGI

  1. ANAUPIGA MWINGI

    Kwanini Watanzania wengi/Wazazi wanakwepa kutoka out a Family?

    Huu uzi hautapata wachangiaji kabisa kwa sababu umepiga utosini kabisa.
  2. ANAUPIGA MWINGI

    Miche ya Dragon matunda inapatikana wapi kwa Tanzania?

    Kuna Mama mmoja ni nanajuana naye anatafuta Miche ya Dragon idadi ya kutosha anataka kulima pande za Muheza Tanga, kama kuna mtu ana connection inapo patikana aniambie please.
  3. ANAUPIGA MWINGI

    Aibu: Picha za Mameya wa jiji la Dar tokea Uhuru zimebandikwa ukumbi wa Karimjee isipokuwa ya Isaya Mwita

    Ikibakia ndio nchi itapiga hatua kimaendeleo, punguzuzeni kuwa wajinga na kuja na post za kijinga jinga tupu zisizo kuwa na tija ya aina yoyote ile
  4. ANAUPIGA MWINGI

    Kadri nchi inavyofisidiwa ndio kadri raia wanaongeza utani na mizaha kwa Serikali

    Huu ni ukweli tupu raia ndio sababu ya haya yote, nchi haijawahi kuwa na raia waliko serious, Serikali inasoma mood za raia kabla ya kufanya jambo lolote lile sasa mood za kibongo ni utani na mizaha lazima jamaa wajilie nchi
  5. ANAUPIGA MWINGI

    Jeshi la Korea ya Kusini laomba msamaha kwa kushindwa kuzitungua drones za Korea ya Kaskazini

    Wewe unajua nini? Zaidi ya ku Google kuna unacho jua? Kila mtu humu ana google wacha kujifanya unajua sana
  6. ANAUPIGA MWINGI

    Kuna Uwezekano Ndege ya Mizigo iliyotua KIA haikuondoka tupu

    Hatari tupubbaada ya kumuona kinana amerudishwa kazini nikajua tumekwisha, Kinana ana Share kule kwa Mwarabu hivyo kama kuna wanyama wamebebwa basi anajua fika nini kinaendelea
  7. ANAUPIGA MWINGI

    Je Magufuli angekuwa Rais Maji ya Ruaha mkuu yangechepushwa?

    Unaelewa nini hapo kwenye hayo maelezo?
  8. ANAUPIGA MWINGI

    Je Magufuli angekuwa Rais Maji ya Ruaha mkuu yangechepushwa?

    We ni mjinga, so hukuona Tingatinga likibonoa kuta zilizo wekwa kuchepusha maji ya mto?
  9. ANAUPIGA MWINGI

    Je Magufuli angekuwa Rais Maji ya Ruaha mkuu yangechepushwa?

    Katiba ni kweli ni muhimu na swala la Raia kuwa mazezera hilo pia lipo sana, ila pia na Raisi naye ni Soft sana, Anagalia mfano Trump alivyo kuwa Raisi alivyo Pambana na uhuni wa china kwenye biashara, ila mtangulizi wake alikuwa anawaogopa China. Kuna sehemu Raisi anapaswa ku act na yeye
  10. ANAUPIGA MWINGI

    Je Magufuli angekuwa Rais Maji ya Ruaha mkuu yangechepushwa?

    Mnakuwaga wajinga sana hivi swala linalo pigiwa kelele hadi na Makamo wa Raisi ni uchepushaji maji kujaza Bwawa? kwa nini mnakuwa wajinga kiwango hiki? Acheni ujinga
  11. ANAUPIGA MWINGI

    Kwa nini Asia walikataa Utamaduni wa Wazungu ikiwemo Dini?

    Asia ilitawaliwa sawa sawa na Africa,ila cha kushangaza ni kwamba Asaia tofauti na Africa wao walikataa vitu vingi sana vya wakoloni wao. Asaia walikataa Dini na na pia utamaduni wa wazungu na sana walichukua elimu pekee. Mfano India ilitawaliwa na Uingereza ila huwezi kutana na Muhindi...
  12. ANAUPIGA MWINGI

    Je Magufuli angekuwa Rais Maji ya Ruaha mkuu yangechepushwa?

    Wangejengaje? Aiseee wale walio chepusha kulishia mifugo sio bwawa
  13. ANAUPIGA MWINGI

    Je Magufuli angekuwa Rais Maji ya Ruaha mkuu yangechepushwa?

    Weka ushahidi kwamba ulichepushwa Magu akiwa Raisi,
  14. ANAUPIGA MWINGI

    Je Magufuli angekuwa Rais Maji ya Ruaha mkuu yangechepushwa?

    Mama ni laini sana mara 100 ya kikwete alijiwa laini ila ku a nyakati alikuwa anakuwa mboga kiasi, Mama ni tooo sofr, na wahuni watapiga sana kipindi chake,
Back
Top Bottom