Kwa nini Asia walikataa Utamaduni wa Wazungu ikiwemo Dini?

ANAUPIGA MWINGI

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2022
Posts
388
Reaction score
757
Asia ilitawaliwa sawa sawa na Africa,ila cha kushangaza ni kwamba Asaia tofauti na Africa wao walikataa vitu vingi sana vya wakoloni wao.

Asaia walikataa Dini na na pia utamaduni wa wazungu na sana walichukua elimu pekee.

Mfano India ilitawaliwa na Uingereza ila huwezi kutana na Muhindi anaitwa John, Joseph, Anna, Esta, na kazalika, ila njoo Africa sasa.

Africa walichukua kila cha Wakoloni wao ikiwemo Dini na utamaduni na hii ilipelekea kudharaua sana utamaduni wao.

Je Asaia walishituka nini? Au walikuwa ba amono gani hadi wakakataa vitu vingi saba ya wakoloni wao?
 
Asians Wana akili Sana,
Wote tulitawaliwa na wazungu
Ila Asians wametupita mbali sn kimendeleo
 
Asia ilitawaliwa sawa sawa na Africa,ila cha kushangaza ni kwamba Asaia tofauti na Africa wao walikataa vitu vingi sana vya wakoloni wao.

Asaia walikataa Dini na na pia utamaduni wa wazungu na sana walichukua elimu pekee.

Mfano India ilitawaliwa na Uingereza ila huwezi kutana na Muhindi anaitwa John, Joseph, Anna, Esta, na kazalika, ila njoo Africa sasa.

Africa walichukua kila cha Wakoloni wao ikiwemo Dini na utamaduni na hii ilipelekea kudharaua sana utamaduni wao.

Je Asaia walishituka nini? Au walikuwa ba amono gani hadi wakakataa vitu vingi saba ya wakoloni wao?
Fix hizi....India wapo hao akina John, Joseph,Anna, George wengi tuuu..sehemu ya India waliotawaliwa na wareno wanafuata dini ya Roman catholic na hayo majina yapo kila kona. sehemu zingine za India wanafuata dini zao za kihindu, kiislam na zingine zingine. kwahio uloandika hapo ni uongo mtupuuu.
 
Acha kulisha watu matango pori hawakupokea dini vipi wakati asilimia 60 ya waislam duniani wanapatikana barani Asia?
Hata nchi kama Ufiripino asimia 80 ya raia wake ni wakatoriki na asilimia 20 ni waislam.
 
Wana akili nyie Afrika hamujielewi hii ndio tofauti.
 
Asia ilitawaliwa sawa sawa na Africa,ila cha kushangaza ni kwamba Asaia tofauti na Africa wao walikataa vitu vingi sana vya wakoloni wao.

Asaia walikataa Dini na na pia utamaduni wa wazungu na sana walichukua elimu pekee.

Mfano India ilitawaliwa na Uingereza ila huwezi kutana na Muhindi anaitwa John, Joseph, Anna, Esta, na kazalika, ila njoo Africa sasa.

Africa walichukua kila cha Wakoloni wao ikiwemo Dini na utamaduni na hii ilipelekea kudharaua sana utamaduni wao.

Je Asaia walishituka nini? Au walikuwa ba amono gani hadi wakakataa vitu vingi saba ya wakoloni wao?
Umewahi fika India?

Mama Theresa ni wa Taifa gani?
 
Asia wakimpokea mmisionari wanaangamia kazi ya maendeleo kwa watu na sio hiyo imani. Wakienda kinyume na imani zao wanapigwa chini.
 
ASIA haikutawaliwa kama vile Africa. Jamii za Asia wakati misafara ya kibepari na Kikoloni ya Wareno, Waholanzi, Waingereza, Wafaransa, Spain na wengine, ilivyoanza ( 1,400 - 1,900 AD), jamii za bara Asia zilikua tayari zimestarabika, na zimevuka mifumo ya Kijima, Kitumwa na zilikua katika hatua ya juu ya Ukabaila(Feudalism) ambapo walibaki hatua chache kufika kwenye Ubepari. Sisi Africa 1,400 - 1,900 ndio tulikuwa kwenye Ujima(Communalism) kwa jamii nyingi kasolo ni kwa Ethiopia na Egypt. Ndio maana Wakoloni bara Asia, walitumia Mfumo wa kukodisha ardhi (Land Lease) badala ya kuchukua Makoloni, kwahiyo walitawala ardhi chache, na eneo kubwa la bara la Asia lilitawaliwa na Wafalme wao. Mfano China Waingereza walitawala eneo dogo la Hong Kong, Wareno wakatawala Macau, Wafaransa walitawala Peking wote walikodi kutoka kwa kabila la Wa Han, na mwaka 1990 wapirudisha kea Uchina. Spain warikodi phillipins. Uingereza na Ufaransa walichukua eneo lote la India na Middle East. Lakini eneo la Japan, Korea, Han China, Mongolia, Southern East Asia hayakutawaliwa kwa moja kwa moja.
 
Asia ilitawaliwa sawa sawa na Africa,ila cha kushangaza ni kwamba Asaia tofauti na Africa wao walikataa vitu vingi sana vya wakoloni wao.

Asaia walikataa Dini na na pia utamaduni wa wazungu na sana walichukua elimu pekee.

Mfano India ilitawaliwa na Uingereza ila huwezi kutana na Muhindi anaitwa John, Joseph, Anna, Esta, na kazalika, ila njoo Africa sasa.

Africa walichukua kila cha Wakoloni wao ikiwemo Dini na utamaduni na hii ilipelekea kudharaua sana utamaduni wao.

Je Asaia walishituka nini? Au walikuwa ba amono gani hadi wakakataa vitu vingi saba ya wakoloni wao?
No research, no right to speak

India Kusini (wale wahindi weusi) wana ukristo mkubwa sana.
Kule kuna ukatoliki wa kutosha tu.

Unajua kuwa Philippines(Ufilipino), ina ukristo kwa 88%?

Unajua kuwa theluthi moja (30%) ya South Korea ni wakristo?
 
Asia ilitawaliwa sawa sawa na Africa,ila cha kushangaza ni kwamba Asaia tofauti na Africa wao walikataa vitu vingi sana vya wakoloni wao.

Asaia walikataa Dini na na pia utamaduni wa wazungu na sana walichukua elimu pekee.

Mfano India ilitawaliwa na Uingereza ila huwezi kutana na Muhindi anaitwa John, Joseph, Anna, Esta, na kazalika, ila njoo Africa sasa.

Africa walichukua kila cha Wakoloni wao ikiwemo Dini na utamaduni na hii ilipelekea kudharaua sana utamaduni wao.

Je Asaia walishituka nini? Au walikuwa ba amono gani hadi wakakataa vitu vingi saba ya wakoloni wao?
Naona umeamua kuelezea jambo usilolijua, nani alikufundisha kuwa Yesu alikuwa mzungu, hayo majina uliyoyataja ni ya tafsiri ya uingeleza ukienda ufaransa au ujerumani hautayakuta, huko yana tafsiri tofauti ila ni yaleyale ya kiarabu ambako uisilamu na ukirisitu ulianzia.
 
Back
Top Bottom