maumivu anayopitia huyo jamaa sio ya kawaida,
tulianza kujenga kibanda chenyewe kilikuwa usawa wa madirisha tayari mkipishana kidogo "kama vipi tuachane tuuze nyumba" nikaona isiwe tabu nikaamua acha mission iwe aborted nakaaanza jenga sehemu nyingine kwa siri nilivyomaliza nikachukua mafundi...
Toboa muda wowote kikubwa pale unaelekea phase ya kuondoka hapa duniani hakikisha unacho.
Hicho ndio kipindi kigumu ndio maana unaona wazee wanang'ang'ania madaraka
Uchumi unnaotegemea mafuta na gesi kuanguka completely ni ngumu watu watanunua TU hata in a black market maana bei Huwa chini, Kuna uwezekano mmoja wa wateja wa Iran akawa mmarekani
Kwenye vita kusaidia sio lazima apige kelele, China asingekubali Iran ianguke kwakuwa anategemea kupata cheap oil,
Pia nchi zinatengeza siraha kama china Huku zikiwa na amani huwa zinataafuta real test ground Kuna uwezekano hata baadhi ya missile zilizorushwa na Iran zikatoka sehemu nyingine...
Iran tayari anayo blueprint ya kutengeneza nuclear na waifundisha Hadi darasani hivyo itafika kipindi hata uuwe watu wangapi wanaofahamu juu ya hiyo tech watakuwepo TU, mfano Tanzania uanze kampeni ya kueliminate walimu unahisi utafanikiwa?
Mtu akishakuwa na Blueprint ya kutengeneza kitu Fulani huwezi mzuia Tena ni swala la muda TU Iran itamiliki nuclear, maana hii elimu tayari wanayo na sasa wanaifundisha darasani ndio maana strategy ya kuuwa wataalamu ilifeli,
Tatizo halipo itv tatizo ni hao DStv
It anatoa feed 72° shida IPO kwa anaepokea ndio maana kwanini ikate DStv peke yeke wakati kwenye visimbuzi haikati na wanachukulia sehemu Moja,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.