Namwona mara nyingi sana moro. Anatoka kwenye msikiti wake anaelekea kilakila. Alikuwa anaendesha escudo nyeupe ya zamani imechooka mpaka nikajiuliza huyu kama vepee
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikiwa form four bhana nilikuwa naishi kwa headmaster. Shule ya day nikapanga na dem wa f2 sasa ishu ni wapi tutafanya na yeye anakaa kwa mwl wa kike ukuda ukuda. Siku hiyo mkuu kaniaga anaenda bongo kufuata vifaa vya maabara na chemicals ilikuwa ni safari ya wk nzima. Afu mkuu ananiamini ile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.