Kiukweel mim naamini kusoma vitabu vinakupa uwezo mpana wa kuliona tatizo au changamoto flani kwa ukubwa zaidi, mfano niliposoma" rich dad poor dad " nilipata mwanga mkubwa juu ya elimu ya fedha namna nzur ya kujenga akili za watoto wetu. Pia ni njia
Kiukweel mim naamini kusoma vitabu vinakupa uwezo mpana wa kuliona tatizo au changamoto flani kwa ukubwa zaidi, mfano niliposoma" rich dad poor dad " nilipata mwanga mkubwa juu ya elimu ya fedha namna nzur ya kujenga akili za watoto wetu. Kitu kikubwa ni kujua unahitaji nin, kwa wakati gani na...
Mkuu elimu ya biblia ni tofaut na kile kinachozungumziwa hapa Wal usizan Hawa wanaosema kitabu flan kimebadil maish yake ukazan biblia huwa hasomi na biblia pekee haikufany wewe kukua kiuchumi Zaid utakuwa kiroho tyuu natumai sijamkosea mtu." Biblia Ina nafas yake kiroh na hv vitabu vina nafas...
Daah mkuu mwenyw nataman kuanzisha biashar hii ya mgahaw kweny chuo flan hv maan kusoma bila kujishughurisha uongoo lakn kalee ka moyo ka kuanzaa ndoo changamot
Habarin Wana jf natumai mko salamaa kabsaa.
Nilikuwa naombaa msaad he unawez kusoma chuo mfano udsm haraf kwa MDA wa ziada ukawa unasoma kozi nyingine mtandaoni au kupata ujuzi wa vitu vingine mfano mtu anasoma umeme lakini akaamua kusom Mambo ya air condition kwa muda wa ziadaa na ni chuo gan...
Ushauri wa bure we kasome kitu ambacho kipo kweny ndoto wekaa juhudi Zaid pata matokeo mazur haraf swal la ajiri n kitu kingne kabsaa usilizungumzie kwa sasa we kajal kupat ujiz Bora
Habarin wakuu natumai wotee n wazima
Samahan nilikuwa naomba msaada kwa yoyote anaefahamu chuo chochote kinachotoa mafunzo kuhusu transformer kwa hapa Tanzania ahsanten
Hayaa Sasa miongon mwa wanajesh wa Ukraine walio uawa hv pundee hzoo ndio nembo za nchi zao na sis tumoo
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Samahan Wana jf nilikuw naombaa msaada kwa mweny uelew kuhus biashar ya kuagiza mzigo kutoka china mfano vyombo , blender,pazia na vingne naombaa kupat msaada natak nianze kuagiza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.