Clinical Medicine na Nursing ipi bora?

Clinical Medicine na Nursing ipi bora?

Soma clinical officer kama unamalengo makubwa ya kielimu kwa badae mfano kuwa daktari bingwa, ni njia sahihi zaid ya kupitia lkn Kama unawaza ajira za haraka kapige nursing ,huwezi bumbwa kitaa.note:kozi zote za afya ni nzuri sema inategemeana na eneo ulilopo na juhudi zako za kutafuta vijiwe

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
I want to know kati ya Clinical Medicine na Nursing ipi nzuri kusoma kwa wakati huu?
Afu Kama ni clinical officer ufaulu wako ni wa kawaida hasahasa kwenye phyz,chem,na bios basi kwa vyuo vy serikali sahau kupata kirahisi Kuna watu kila Mara wanaomba Clinical officer lkn hawapati ,ushindani n mkubwa sana

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Soma clinical officer kama unamalengo makubwa ya kielimu kwa badae mfano kuwa daktari bingwa, ni njia sahihi zaid ya kupitia lkn Kama unawaza ajira za haraka kapige nursing ,huwezi bumbwa kitaa.note:kozi zote za afya ni nzuri sema inategemeana na eneo ulilopo na juhudi zako za kutafuta vijiwe

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
Nachukua huu ushauri mzuri.
 
Based on your question,Nakushauri usome Nursing ina wigo mpana wa ajira...ukisikia ajira za afya zimetangazwa tegemea 60% wanaohitajika ni manesi tena wanapendelea diploma na certificate.
Nashukuru nimeuliza maana haoa nataja nisome chuo kina hospitali kipo. Nyumbani kabisaa sasa kina program hizo mbili tu
 
Afu Kama ni clinical officer ufaulu wako ni wa kawaida hasahasa kwenye phyz,chem,na bios basi kwa vyuo vy serikali sahau kupata kirahisi Kuna watu kila Mara wanaomba Clinical officer lkn hawapati ,ushindani n mkubwa sana

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
Samahan kaka ufaulu wa kawaida unamaanisha gani? Afu mimi siombi serikalini nataka nisome hapa hapa nyumbani karb naenda kwa mguu chuo kina hospitali hapo hapoo
 
Mkuu, kwa swali lako kuna mabo mengi sana. Ntachambua kwa uchache.
1. Ukisoma Clinical medicine, just know utakapomaliza, utasubiri sana kupata chaka maana wako wengi na pia ni ngumu kujiajiri. Lakini kama una mpango wa kuwa daktari bingwa ni njia nzuri, cha muhim uwe na hela ya kutosha kujisomesha mpka kuwa specialist maana wataalam wanapungua zaidi as kiwango cha elim kinavoongezeka
2. Nursing, ni kozi nzuri, lkn ukitaka ajira uishie diploma tu. But kaa ukijua nchi yetu hii bado nurse anachukuliwa poa sana. Yaan anaonekana mtu ambae sio muhim kiutawala so kutumwa ni kawaida (kumradhi)
3. Kama lengo lako ni kufanikiwa mapema, soma course za afya ambazo unaeza kujiajiri kwa mfano radiology, maabara, pharmacy.
4. Tofaut na hapo kasome course kama za macho na anaesthezia, hapo koas flan unakua kwenye market maana hao wataalam sio wengi kiivo.
 
Ushauri wa bure we kasome kitu ambacho kipo kweny ndoto wekaa juhudi Zaid pata matokeo mazur haraf swal la ajiri n kitu kingne kabsaa usilizungumzie kwa sasa we kajal kupat ujiz Bora
 
Huo uchambuzi gani Kama we ndo raisi wa nchi,Kuna watu wanasoma tu na ajira hapohapo na Kuna wengine wanasoma ajira anapata miaka 10 mbele,kiufupi tz bdo sana so ni bora kusoma kwa ndoto kuliko hayo Mambo cjui ukisoma utasubiri sana,ukitaka kutajirika kapge siasa

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, kwa swali lako kuna mabo mengi sana. Ntachambua kwa uchache.
1. Ukisoma Clinical medicine, just know utakapomaliza, utasubiri sana kupata chaka maana wako wengi na pia ni ngumu kujiajiri. Lakini kama una mpango wa kuwa daktari bingwa ni njia nzuri, cha muhim uwe na hela ya kutosha kujisomesha mpka kuwa specialist maana wataalam wanapungua zaidi as kiwango cha elim kinavoongezeka
2. Nursing, ni kozi nzuri, lkn ukitaka ajira uishie diploma tu. But kaa ukijua nchi yetu hii bado nurse anachukuliwa poa sana. Yaan anaonekana mtu ambae sio muhim kiutawala so kutumwa ni kawaida (kumradhi)
3. Kama lengo lako ni kufanikiwa mapema, soma course za afya ambazo unaeza kujiajiri kwa mfano radiology, maabara, pharmacy.
4. Tofaut na hapo kasome course kama za macho na anaesthezia, hapo koas flan unakua kwenye market maana hao wataalam sio wengi kiivo.
Ahsante sana kwa ushauri mzuri kaka nimeuchukua huu ubarikiwe Sana
 
Ushauri wa bure we kasome kitu ambacho kipo kweny ndoto wekaa juhudi Zaid pata matokeo mazur haraf swal la ajiri n kitu kingne kabsaa usilizungumzie kwa sasa we kajal kupat ujiz Bora
Amin sana
Kaka nzuri hiii
 
Soma kitu unachopenda zaidi itakufanya uone shule ni nyepesi
Ukiwa best kwenye kitu chochote itakupa advantage kulko wenzako ambao watakua average
 
Optometry, Radiology, Dental... pharmacy ni kweli ina watu wachache huko kwenye mabaraza yao wanakosajiliwa ila kazi zao zinafanywa na Manesi na Clinicians kt Vituo vingi vya Afya.
 
Ahsantee kwa taarifa
 
Jamaa kashakwambia "pharmacy haina mchongo inazidiwa na IT"

Ikabid nicheke kimya kimya , maana sitak mjadala usio na tija ntasumbua vidole vyangu ku'type na huyoo mzee wa Takwimu**
Bado unabisha kuwa pharmacy sio mchongo kuliko IT?
 
Ushauri mbovu, katika kozi ambazo hazina mchongo tena Tanzania basi pharmacy ni number 1 inazidiwa hata na IT! yes haina mchongo.

Pharmaceutical science haina limitations za kudahiri wanafunzi na vyuo vyote uvijuavyo vinavyotoa kozi ya pharmacy vina wanafunzi 400+ kwa level zote 😝 hawa wanaenda wapi wakimaliza?

Nimehudhuria mahafali ya mwaka jana ya vyuo viwili UDOM na ST John vitabu vyao vya mahafali vimejaa mvua ya hao watu balaa
Yapo mtaani napishana nayo kila siku
uongo umetaja vyuo viwili vinavyotoa pharmacy nakuongezea List Bugando na Muhimbili ongeza viwili vikifika tuma na namba yako ya simu PM nitume hela kama havitafika basi acha makasiriko na Ma Pharmacist 😎
 
Back
Top Bottom