Recent content by amsr

  1. amsr

    Nyimbo ipi ni funga mwaka ya 2020?

    N'jomba nchumali
  2. amsr

    Nyimbo ipi ni funga mwaka ya 2020?

    Mtoa mada nna uhakika hujaskiliza WAPO
  3. amsr

    Tupia jina lako la utani na sababu ya kuitwa jina hilo

    O level pale azania nliitwa Mr. Log na nlipoingia chuoni nikaitwa Chanchad ,walioona 3 idiot nadhani mtakua mmenielewa vizuri
  4. amsr

    Guess the Lyrics(Bahatisha Mashairi):Its A Game

    Mkui huyu sio john vigeti kweli ?
  5. amsr

    Guess the Lyrics(Bahatisha Mashairi):Its A Game

    The rap graduate ,gheto me nna vyeti vya kutosha Na ukitaka battle unafichwa kama nyeti ndani ya boxer Nachana anga kama jet ama chopa Hii verse iko sex so naidedicate kwa maporn star Kichwani mtupu kama gheto la mateja Mtutu hadharani wazi kama depo la wajeda Tuko tofauti kama deco na...
  6. amsr

    Guess the Lyrics(Bahatisha Mashairi):Its A Game

    Kua nanasi uliwe au njoo kama kamasi nikupenge Nataka niwachape viboko niwachenge ,wengi mna mistari local ka mashati ya vitenge Hhahaha
  7. amsr

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Mkuu nisaidie gcam ya realme xt @gcamp
  8. amsr

    Car4Sale Nauza haya magari bila udalali

    hii nina 3m cash
  9. amsr

    Car4Sale Nauza haya magari bila udalali

    6.3m cash
  10. amsr

    Nilisafiri kwa pikipiki Dar mpaka Tabora

    Mkuu hongera sana kwa hiyo adventure I wish ningekujoin ila poa kuna siku na mimi ntasafiri umbali mrefu na mnyama wangu kiboko ya boxer (discover 4valve) hua naiita the navigator wenye boxer hua wananikoma barabarani na hapa nna mpango niibomoe yote ili niifanyie overhaul anayejua fundi...
  11. amsr

    Tupe stori za msanii uliesoma au kujuana nae kabla ya umaarufu

    namjua na yeye ananijua vizuri sana kwakifupi tunajuana coz we still keeping in touch amsr. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. amsr

    Tupe stori za msanii uliesoma au kujuana nae kabla ya umaarufu

    hahahaha mkongo anaisimplify physics inakua kama civics mlokoz mzee wa bios na kuna member mmoja hapo juu anasema eti mlokozi alikua ndezi me nimeishia kucheka tu wakati mlokozi ndo alikua ana jeuri ya kuruka na kitengomawe na si teacher mwengine yoyote unamkumbuka teacher mmoja alitupewa...
  13. amsr

    Tupe stori za msanii uliesoma au kujuana nae kabla ya umaarufu

    hahahaha nlilipomaliza tshirt yangu ikagombaniwa kama mpira wa kona amsr. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. amsr

    Tupe stori za msanii uliesoma au kujuana nae kabla ya umaarufu

    hahahaha pole mkuu naona sisi ndo tuliimalizia kuifaidi azania maana ilikua unaingia xul muda unaotaka na kutoka muda unaotaka na mfano ukichoka kukaa class unaenda forest au kwa hussein unakutana na story za na uongo wa dmx au unaenda zako mapindi mchikichini hahaha kweli time flies amsr...
Back
Top Bottom