ndugu yangu moja ni ngumu sana kwa sababu wazanzibari hawataki na wao nguvu yao kubwa kisiasaa,tanganyika ndio tunao wabembeleza ktk ndoa hii ya muungano,namnukuu baba wa taifa pale aliposema"ningekuwa na uwezo ningevisukuma mbali katika bahari ya hindi visiwa hivi kwani hawa watu laki 3...