Malipo ya kujisomesha

kitabuchetu

New Member
Aug 15, 2013
4
0
Jamani anaomba kujua ,halmshauri yetu imetoa ruhusaza watu kwenda masomoni kwa mujibu wa barua zao za kuwekwa kwenye mpango lakini cha kushangaza wote wamepewa barua inayo sema umeruhusiwa kusoma akwa gharama yako mwenyewe na halmashauri haitahusika na gharama za masomo yako, na mimi nikiwa mmoja wao .lakini sasa nashindwa kujua kuwa kwanini mtu awekwe kwenye mpango kisha uje umwambie kuwa umeruhusiwa kw gharama zaako mwenyewe? Mimi nilianza kazi 01/10/2010 ninaamini kuwa tayari nimeitumikia serikari na nina sifa ya kwenda masomoni lakini kwanini waseme kuwaz nijisomeshe?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom