Recent content by Amour mattar

  1. Amour mattar

    JamiiForums Tanzania Swala la Zanzibar ni kitisho cha muungano na usalama wa Tanzania!

    Sisi hatutegemei muungano twamtegemea Mwenyezimuungu (Allah) ndio wayote mueza aliekuwa hashindwi na lolote atakalo ndio afanyalo
  2. Amour mattar

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidieni, naweza kufa kwa mawazo

    Mimi naona umewachezea kwa papara nahao hujifanya wanyonge hawajui kitu kumbe huwa hujaingia kwenye 18 zao tu ukiingia umekwisha
  3. Amour mattar

    JamiiForums Tanzania Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

    Kweli Kweli au wabisha
  4. Amour mattar

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NOKIA LUMIA 620: Touch screen haifanyi kazi baada ya kufanya upgrade

    Na mimi vile vile sijakufahamu
  5. Amour mattar

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namba kutoka katika phonebook yangu zinahamia kwa wife wangu

    Itakuwa mkeo anaijua vizuri setting ukilinganisha na wewe
  6. Amour mattar

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maajabu ya ndoa: Unapewa cheti kabla ya mitihani

    Kile chet sio cha kupasi wala kufeli Kile cha makabidhiano kama manunuzi ya nyumba gari shamba. Sawa sawa
  7. Amour mattar

    JamiiForums Tanzania Kwanini wavuta bangi huongea maneno yenye busara sana?

    Hata usiipate cancer kwakuvuta bangi ndio nini? Tutakufa Tutakufa tu tusipeana moyo kuwaukifuta bangi hupati cancer kwa sisi waislamu hukiendelea na kuvuta bangi mpaka ukafariki hukuomba msamaha ukaacha motoni hutoku
  8. Amour mattar

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    First your introduction
  9. Amour mattar

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Elena kwanza ulivyo halafu ndio tujifikirie sisi wengini
  10. Amour mattar

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina mtoto 1, nimepata mchumba ananipenda ila simpendi, nifanyaje?

    Mbona why jibu kulifanya suali
  11. Amour mattar

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kazaa nje ya ndoa, nifanyeje?

    Ndoa haina mtoto wanjewandoa kisheria wewe watupa mapya
  12. Amour mattar

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepitiliza muda wa kujifungua

    Kula asali nyingi inshallah Allah atakupawepesi
  13. Amour mattar

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania msaada

    Nitakuwa nakazi ya kununua mzigo atakae Kuja nitampokea na kumfanyia hizo dawa muda ni siku 3 nitakuwepo
  14. Amour mattar

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania msaada

    Nitakuwepo aggrey na likoma mimi ni mpemba fyoko simaanishi kama wapemba hawawezi kuwamatapeli laa na wao niwanaadamu kama wengine
  15. Amour mattar

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania msaada

    Mimi kama nitapeli basi chukulia hivyo hivyo kama mimi nitapeli nakushukuru sana
Back
Top Bottom