jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,585
Hahaha. Kausha bana. Mzima lakini?
mzima sana nimekumis mbayaaa. weka vile vitu vyako bhana
Hahaha. Kausha bana. Mzima lakini?
Kazaa au kapata ujauzito nje? Na umejuaje kama ujauzito huo c wako wakati unamdinya kila siku?
Naitwa Edward toka Mwanza.
Nimeishi na mke wangu tuliyependana kwa dhati kwa mda wa miaka 4.
Tukabahatika kupata mtoto mmoja, kadri ya siku zilivosonga mimi nikienda kazini nae anatoka hatimae akapata ujauzito toka nje.
Jamani wanaJF wenzangu naomba ushauri.
Hehe vitu gani tena?mzima sana nimekumis mbayaaa. weka vile vitu vyako bhana
Naitwa Edward toka Mwanza.
Nimeishi na mke wangu tuliyependana kwa dhati kwa mda wa miaka 4.
Tukabahatika kupata mtoto mmoja, kadri ya siku zilivosonga mimi nikienda kazini nae anatoka hatimae akapata ujauzito toka nje.
Jamani wanaJF wenzangu naomba ushauri.
Hehe vitu gani tena?
Mbona nayarusha kila siku, kama Rev Run vile, bila bathtub. Oh! Kumbe haupo kwenye contact list yangu, ndiyo sababu. Subscribe. [emoji41]si yale maushauri yako jaman? tupiamo bhana umekaa kimya sana
Mbona nayarusha kila siku, kama Rev Run vile, bila bathtub. Oh! Kumbe haupo kwenye contact list yangu, ndiyo sababu. Subscribe. [emoji41]
Fafanua. Amepataje ujauzito toka nje na wakati kila siku unalala nae wewe? Humu naina chai zinazidi aisee~ Mpaka nachoka!
niwekemo jamani. I always miss you because of mavituz yako
Ni mjamzito au ameshajifungia
Dah vizazi vya zamani ndo vilifaidi "uanaume"
Mbona nayarusha kila siku, kama Rev Run vile, bila bathtub. Oh! Kumbe haupo kwenye contact list yangu, ndiyo sababu. Subscribe. [emoji41]
![]()
Hehe sema taratibu bana, watakuja wengi ujue.
Hahaha. Acha bana. You knew I was a Mack-Daddy from the get-go. Relax.Nimekugawaaaaa
Aaah hapa naenda kwa mwanasheria hivi. Usije ukaniua kwa presha bure mtoto wa Kaboom bado mbichiiii. Endelea kukamata fursa na kurubunika pyeeeHahaha. Acha bana. You knew I was a Mack-Daddy from the get-go. Relax.