Recent content by amoneka athumani

  1. amoneka athumani

    Msaada: Utaratibu wa kusafirisha bidhaa nje kibiashara

    ninachokifahamu mm ni lazima uwe na kibali kutoka TFDA
  2. amoneka athumani

    Unajua vyuo vya Mtwara! Pitia hapa...

    pia kama anaweza kuja sauti tunamkaribisha wapo vizuri kwenye sheria ishu za usajiri hamna shida hata
  3. amoneka athumani

    Unajua vyuo vya Mtwara! Pitia hapa...

    sawa ila ngoja niulizie maana nipo karibu na chuo cha court sea ila wanatowa course nyingi zinazousu afya
  4. amoneka athumani

    Unajua vyuo vya Mtwara! Pitia hapa...

    kipo chuo mtwara kinaitwa court sea kinatowa kozi anayoitaka nicheki pm tuzungumze vizuri
  5. amoneka athumani

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    mwenye movie inayoitwa love me again naomba anisaidie kuipata nimeitafuta mitandaoni ckuipata
  6. amoneka athumani

    Nina Novel Ya Godfather Natafuta Mtu Tufanye Exchange.

    mwenye sopy copy ya novel ya see of tree iliyoandikwa na robert james Russell naomba anitumie
  7. amoneka athumani

    Ni movie gani zilizoelezea bomu la nuclear na atomic?

    kwa wajuzi wa movie ni movie gani zilizo elezea bomu la nuclear na atomic iwe series au single movie
  8. amoneka athumani

    Msaada: Njia itakayoniwezesha kutuma movie

    Nataka nimtumie mtu movie yenye MB 95 kuna njia yoyote itakayoniwezesha kutuma movie, msaada please.
  9. amoneka athumani

    Nile vyakula gani mwili ujengeke vizuri

    poda inapatikana wapi na bei ipoje
  10. amoneka athumani

    Ask me anything about world history

    kuna raisi mmoja marekani alifanya mambo makubwa sana marekani kwa sela zake ila alikuwa akimtumia mkewe katika ushauri wa maswala yote ya kiserikali unaweza kunitajia jina lake na sababu zilizompelekea kumfanya mkewe kumsimamia katika maswala ya kisiasa
  11. amoneka athumani

    Nile vyakula gani mwili ujengeke vizuri

    Nimeanza gym, je nile vyakula aina gani ili mwili ujengeke kwa wepesi nimechoka kuwa kimbaumbau.
Back
Top Bottom