Msaada: Utaratibu wa kusafirisha bidhaa nje kibiashara

kitumbotala

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
516
621
Kichwa cha habari chausika,

Mm nimjasilia Mali Mdogo nawaza kupanua soko LA bidhaa za nafaka,dagaa na mbogamboga kwenda nje hususana USA na CHI ZA ULAYA.

Naomba kujuzwa taraibu na mambo gani yanatakiwa ili kufanikisha hili.

NB; nitakuwa natuma kwa njia ya EMS au Posta.
Karibuni.
 
Back
Top Bottom