Recent content by Amobesty

  1. A

    Uvaaji wa Bikini unazeesha sana na haraka Uke

    Uko fresh ee, nan kakwambia
  2. A

    Pwani: Wawili wahofiwa kuuawa kwa risasi Kibiti, idadi ya Waliokufa inasikitisha, sasa yatosha

    Unajua inawezekana askari wetu wakawa siyo waaminifu, wakiewa taarifa wanamtaja mtoa taarifa kwa wahaifu mdiyo maana wananchi wapo kimya
  3. A

    Polisi Kagera wamzuia James Mbatia kutembelea maeneo yaliyoathirika na kugawa misaada

    Mkuu pamoja na maneno yako mazuri siwezi kukusikiliza labda hadi mwaka2020 maana wewe kama mpinzani kutoa misaada itakua unafanya siasa
  4. A

    Jinsi ya kuweka Bold, Italics na Strikethrough kwenye WhatsApp

    Unafanyaje kama unataka kuweka rangi kwenye maandishi? Msaada tafadhali
  5. A

    Aliebuni wazo la vijana wa BAVICHA kwenda Dodoma Mungu ampe maisha marefu

    Mawazo ya hovyo hovyo sana,.. Like mh.spika jimbon kwangu hakuna, maji barabara, umeme, madawa. Pamoja na hayo yote naunga mkono hoja
  6. A

    Haikuwa sahihi kwa Magufuli kugawa Maburungutu ya pesa hadharani

    Nonsence! Kwa hiyo kuhoji matumiz ya fedha za uma soyo sahihi, bali kulipa kodi ndiyo sahihi?don't use butts instead of head
  7. A

    Piga Kura ya Lissu kufunguliwa Mashtaka mapya..

    Hakuna aliyejaribu kushindana na uhuru akashinda,pamoja na hayo uteuzi wa ma_dc umepita kama umeachwa tafuta kazi nyingine na siyo kupiga domo
  8. A

    Chombezo: Chanduka

    E bhana eee utamu hadi kwenye ugoko
  9. A

    Rais wangu Magufuli, huu ni wakati wa ku-act Udikteta wanaokusingizia. Anza na Jenerali Ulimwengu

    Hivi ukiwa CCM lazima ujitotoe ufahamu? Mpuuzi mkubwa! Unadhan kutetea ujinga ndo kuonesha kuwa unafaa kupewa ukuu wa wilaya?? Kwa hiyo unapendezwa kwa njinsi democracy inavyominywa nchini? Lizaboni is a GT who uses butts to think instead of head!
  10. A

    Nyuma ya pazia Bunge live

    Kwa hiyo unaona ni sawa bunge kutooneshwa au kutangazwa moja kwa moja? Wazee wa ndiyoooo katika ubora wao
Back
Top Bottom