Jinsi ya kuweka Bold, Italics na Strikethrough kwenye WhatsApp

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
76,019
159,772
Watu wengi husumbuka sana wanapoandika ujumbe kwenye mtandao wa WhatsApp kutokana na hali kwamba herufi huwa na uzito sawa wa rangi katika hali ya kawaida. Aidha, mtindo wake huwa mmoja.

Je, wajua unaweza kukoleza rangi ya herufi na kuzifanya nzito (bold), ukaziweka kwa mlazo (italiki) na pia ukaweka mstari unaozikata herufi kati, kwa Kiingereza strikethrough?

Unachohitaji kufanya kwanza kabisa ni kuwa na toleo la karibuni zaidi la app ya WhatsApp kwenye simu yako.

Kuweka bold
Ili kukoza rangi kwenye herufi (kufanya bold), unahitajika kutanguliza neno lako na alama ya nyota na kisha kuhitimisha na alama ya hiyo hiyo nyota.
Kwa mfano, ukiandika *bold* itatokea ikiwa bold

Kuweka italiki

Ili kufanya herufi zako kuwa za mlazo au kuwa za italiki, unahitajika kutanguliza na mstari sakafu (underscore) na kuhitimisha na alama iyo hiyo.
Ukiandika _italics_ itatokea ikiwa italics

Simu zitakazotupwa na WhatsApp

Kuweka strikethrough
Ukitaka kuweka alama ya kukata kati kwenye herufi zako, unahitajika kuanza na alama ya mawimbi au kwa Kiingereza tilde (~) na kuhitimisha na alama iyo hiyo.

Ukiandika ~strikethrough~ itatokea ikiwa na mstari uliokata herufi kati.
Kuunganisha mitindo

Unaweza ukataka kuunganisha mitindo, mfano utake kuwa na bold na italiki.
Utahitajika kutumia alama za unachohitaji katika kuanza neno lako na kuhitimisha.

Mfano, ukiandika _*bolditalics*_ inafaa kutokea ikiwa bolditalics.

=======

How to Type Bold, Italics, and Strikethrough Text to WhatsApp Messages

Step #1. Launch WhatsApp messenger from your iPhone Home Screen.

Step #2. Select any of your friend with whom you would like to try this new options.

Step #3. Now to add Bold formatting, just add (asterisk) “*” before and after the text. For example, *Hola!*. Hit the Send button, and WhatsApp will automatically make it bold.

Step#4. In order to type in Italics, you’ll need to add (underscore) “_” before and after the text. Same like Bold formatting, WhatsApp will now convert the text to Italics.

Step #5. The last and the final is Strikethrough. In order to use that, you’ll need to add (tilde) “~” before and after the text.

How-to-Mark-Text-Strikethrough-in-WhatsApp-on-iPhone.jpg
 
Watu wengi husumbuka sana wanapoandika ujumbe kwenye mtandao wa WhatsApp kutokana na hali kwamba herufi huwa na uzito sawa wa rangi katika hali ya kawaida.
Aidha, mtindo wake huwa mmoja.
Je, wajua unaweza kukoleza rangi ya herufi na kuzifanya nzito (bold), ukaziweka kwa mlazo (italiki) na pia ukaweka mstari unaozikata herufi kati, kwa Kiingereza strikethrough?
Unachohitaji kufanya kwanza kabisa ni kuwa na toleo la karibuni zaidi la app ya WhatsApp kwenye simu yako.
Kuweka bold
Ili kukoza rangi kwenye herufi (kufanya bold), unahitajika kutanguliza neno lako na alama ya nyota na kisha kuhitimisha na alama ya hiyo hiyo nyota.
Kwa mfano, ukiandika *bold* itatokea ikiwa bold
Kuweka italiki
Ili kufanya herufi zako kuwa za mlazo au kuwa za italiki, unahitajika kutanguliza na mstari sakafu (underscore) na kuhitimisha na alama iyo hiyo.
Ukiandika _italics_ itatokea ikiwa italics

Simu zitakazotupwa na WhatsApp

Kuweka strikethrough
Ukitaka kuweka alama ya kukata kati kwenye herufi zako, unahitajika kuanza na alama ya mawimbi au kwa Kiingereza tilde (~) na kuhitimisha na alama iyo hiyo.
Ukiandika ~strikethrough~ itatokea ikiwa na mstari uliokata herufi kati.
Kuunganisha mitindo
Unaweza ukataka kuunganisha mitindo, mfano utake kuwa na bold na italiki.
Utahitajika kutumia alama za unachohitaji katika kuanza neno lako na kuhitimisha.
Mfano, ukiandika _*bolditalics*_ inafaa kutokea ikiwa bolditalics.
Mkuu tupe na namna ya kuweka bold & italics kwny Telegram
 
Pia napenda kufahamu jinsi ya kutia rangi katika maneno,kwamfano unaandika post alafu unataka neno fulani kwa mfano *mbwa* liwe na rangi nyekundu alafu mengine yote yabaki kuwa kawaida,pia kukata neno yani kupiga mstari wa kati lkn neno hilo likatwe kwa rangi
 
Pia ukitanguliza. * na kuishia na * basi neno hilo linakuwa BOLD.

Mfano.. * hellow world * litakuwa bolded
 
Watu wengi husumbuka sana wanapoandika ujumbe kwenye mtandao wa WhatsApp kutokana na hali kwamba herufi huwa na uzito sawa wa rangi katika hali ya kawaida.
Aidha, mtindo wake huwa mmoja.
Je, wajua unaweza kukoleza rangi ya herufi na kuzifanya nzito (bold), ukaziweka kwa mlazo (italiki) na pia ukaweka mstari unaozikata herufi kati, kwa Kiingereza strikethrough?
Unachohitaji kufanya kwanza kabisa ni kuwa na toleo la karibuni zaidi la app ya WhatsApp kwenye simu yako.
Kuweka bold
Ili kukoza rangi kwenye herufi (kufanya bold), unahitajika kutanguliza neno lako na alama ya nyota na kisha kuhitimisha na alama ya hiyo hiyo nyota.
Kwa mfano, ukiandika *bold* itatokea ikiwa bold
Kuweka italiki
Ili kufanya herufi zako kuwa za mlazo au kuwa za italiki, unahitajika kutanguliza na mstari sakafu (underscore) na kuhitimisha na alama iyo hiyo.
Ukiandika _italics_ itatokea ikiwa italics

Simu zitakazotupwa na WhatsApp

Kuweka strikethrough
Ukitaka kuweka alama ya kukata kati kwenye herufi zako, unahitajika kuanza na alama ya mawimbi au kwa Kiingereza tilde (~) na kuhitimisha na alama iyo hiyo.
Ukiandika ~strikethrough~ itatokea ikiwa na mstari uliokata herufi kati.
Kuunganisha mitindo
Unaweza ukataka kuunganisha mitindo, mfano utake kuwa na bold na italiki.
Utahitajika kutumia alama za unachohitaji katika kuanza neno lako na kuhitimisha.
Mfano, ukiandika _*bolditalics*_ inafaa kutokea ikiwa bolditalics.
Jf ndo maana naipendaga .Ahsante mtoa madam.kwa hili
 
Bado kuna msaada hapa JF pamoja na kupoteza ubora wake,asante chief kwa ku-share nasi jambo hili.
 
Hii kitu ilianza karibu mwezi sasa ushapita... Bujibuji lete mapya achana na ya kale
 
*iko poa*
Aah,nimekosea kumbe ni whatsap ndio maana hapa haibadiliki!
 
Back
Top Bottom