Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 14,563
- 22,839
- Thread starter
- #61
CHANDUKA (27)
AGE 18
BY HAFIDHI J IKRAM
WHATSAPP
0675082390
---------------
Kidume kinapambana na mzimu
Wachache ndio walioona wenye macho mazito tu
Glory akatoka mbiombio mpaka kwenye gari akafungua buti ya gari
Akatoka na kitu kama mkuki hivi
Akarudi mbio na kumrushia
Chanduka kama umeme akaudaka na kwenda kumchomeka nao yule kiumbe kuna jamaa akapiga yowe
“Jamani jinii!!!
Wee usintanie nani akae
Watu wakaanza kutimua mbio za huku na kule siku zote wabongo ni wambea ila wakisikia hatari
Hata kama hawajaiyona hizo mbio wee
Waoga wa kufa tu!"
SONGA NAYO
SASA
Hali haikuwa hali katika maeneo
yale watu walikimbizana huku na kule wengine wakajikuta wakipigana vikumbo. Na kudondokeana
hovyo. Ikawa mshike mshike balaa
kwa upande wa Chanduka
Baada kumchoma
mkuki yule kiumbe kitu kama short hivi ikapiga tetemeko la. Ardhi likatokea
Chanduka akarushwa kulee lakini kama kawaida yake akajizungusha na
kutua chini
Glory akabaki kutaharuki tu asijue nini atafanya kumuokoa mpenzi wake angali kashampatia siraha
Jangwani pakawa hapatoshi tena
Chanduka
Akatoka mbio na kwenda kumshika mkono Glory akakimbia nae na kuingia kwenye gari akaiwasha na kuondoka kwa kasi
Akitumia barabara ya pembeni
Maana patashika la watu kukimbizana hovyo ilisababisha zinga la foreni.
Hakika speed ilikuwa sio yakitoto
Hakujali kama atagonga mtu
Au laa kufika sehemu moja hivi
akakunja na kuingia mtaa
flani Glory akacheki nyuma na kupiga yowe
“baby wanakuja!!!
Chanduka akamwambia “tulia baby usiwe na hofu ikawa mkimbize mkimbize tu hakika vumbi lilitimka si mchezo
Chanduka akajikuta anatokea kinondoni mkwajuni
Akaingia kwa speed ileile
Na kuingia barabara inayokwenda makaburi ya kinondoni
Baada kufika maeneo ya makaburi akafunga break yani mpaka tairi zenyewe zikalia kwa kusugua chini
“Sikia nikwambie kitu baby wewe ondoka na gari haraka sana mi kuna kitu naitaji kukifanya hapa makaburini!"
Kama ujuavyo tena Wanawake
katika swala kama hili wataanza kuremba ndivyo ilivyokuwa kwa Glory
“hapana baby mi siwezi kwenda nikakuacha hapa peke yako tutapambana wote kama kufa tufe pamoja,"
Chanduka akaona huyu demu anamtania tu akamuwasha kofi
na kumwambia
“nishakwambia ondoka haraka sana
hii ni kesi yangu Mimi wewe haikuhusu please nenda!"
Akashuka kwenye gari na kutoka mbiombio mkuki mkononi akikimbilia makaburini yani ilikuwa mazombie mchana kweupee
ingekuwa vampire sizani kama wangetembea mchana ule
Ila Nusraty sijui jamii gani
Zombie si zombie vampire si vampire yupoyupo tu.
Watu waliokuwa maeneo hayo wakashikwa na mshangao na kujiuliza
Huyu mtu vipi mbona anatoka mbio vile anakimbilia makaburini
kunanini.
Glory nae hakuwa na jinsi akacheki nyuma na kuona vile viumbe wakiwa ndani ya pikipiki wakija eneo hilo. Akawasha gari na kusepa
Chanduka baada kuingia makaburini akavua tishrt yake akabaki na vest akaivua kwa kuichana akabaki tumbo wazi hakika Kidume kilijengeka kimazoezi zaidi
Akaushika ule mkuki na kuvuta pumzi kwa ndani akazishusha ghafla akapotea kilicho endelea mi sijui maana vilio vya mizimu tu na kitu kama vyuma vikigongana ndivyo vilivyo sikika.
Glory huku machozi yakimtoka akajikuta anasimamisha gari pale daraja la sarenda
akachukuwa simu yake na kubofya number flani hivi
Akaiweka sikioni akisikilizia ilipopokelewa tu akaanza kuongea
kwa sauti ya kilio
“hallo Baba sie huku tupo kwenye matatizo makubwa sana!"
Sauti ikasikika upande wapili
“Matatizo gani tena mwanangu na wapi huko?"
“Baba sijui hata nisemeje uamini nahisi ni kama miujiza tu au ndoto"
“Sasa siuseme kuna nini mwanangu!"
Glory akashindwe aseme mazombie au majini akawaza akisema hivyo Baba yake atamuona mwehu hana akili
Mazombie na Tanzania wapi na wapi tena mchana kweupe.
Ikabidi amwambie uwongo Baba yake
Sauti upande wapili ikazidi kuita
“Wee Glory unanisikia mwanangu niambie uko wapi?
“Baba tupo hapa makaburi ya kinondoni tumevamiwa na watu wasiojulikana wametokea wapi!"
Simu ikakatwa upande wapili. Glory akaitupia simu yake nyuma ya kiti na kugeuza faster anarudi pale alipokuwa Chanduka kabla yakufika
Anamuona Chanduka huyo anakuja mbio huku baazi ya viumbe vikivuja damu nyeusi tii
Pamoja na kutapika miuchafu ya ajabu ajabu Chanduka akadank na kuingia kwenye gari
Glory akachochea moto hatua kazaa tu gari ikazima dahaa hakika
Chanduka alidata maana nguvu zilikuwa Tayari zishamuishia
japokuwa viumbe wengi kawateketeza kikwazo kikawa kwa
kubwa lao yani Nusraty alichokifanya ni kushuka kwenye gari na kumwambia Glory ashuke pia ajiandae kukimbia
Mchezo anaotaka kuucheza Chanduka ni hatari sana
ila hakuwa na budi afanye hivyo Glory
akashuka na kuanza kushangaa
Akauliza
“hivi baby unataka kufanya nini?"
Chanduka hakujibu kitu zaidi ya kumwambia kwa sauti ya ukali
“kimbia!!!
nasema kimbia!!!
Glory akatoka mbio...
Huku Chanduka akakitoa kiberiti
Na kuingia kwenye gari wakati huohuo sehemu ya kujazia
mafuta kaifungua wale viumbe baazi yao wakaingia kwenye gari
Hakika Commando siku zote atakuwa Commando tu.
Kama umeme kidume kikaruka kutoka kwenye gari na kuitupia njiti ya kiberiti kwenye gari
Kishindo kizito cha mlipuko wa gari ukasikika gari ikarushwa juu hewani huku ikiwaka moto madereva wa
magari wakajikuta wanagongana na kupata ajali pasipo kutegemea
Chanduka anazua balaa
kwenye nchi yetu hii ya amani
Anatuletea mambo ya ughaibuni kwenye movie Kidume kikatoka mbio na bibiye Glory
Ving'ora vya magari ya police vikasikika na kufika eneo la tukio Ambulance zikawa na kazi za kuwahisha majeruhi katika hospitali ya taifa. Muhimbili
Kipindi hiko tunamuona Chandu na Glory wakiwa ndani ya tax
“ohoo shiti vipi mbona mwanangu simu yake haipatikani kabisa?"
Lilikuwa swali kutoka kwa Baba yake Glory baada kufika eneo la tukio na kushuhudia maafa makubwa tu. Akaweza kuliona gari la mwanae linateketea kwa moto huku zima moto wakijitahidi kuzima.
Akampigia Chanduka huyu simu yake ikawa inaita mwishoe ikapokelewa.
“Hallo Baba"
“ehee vipi mpo wapi maana nimefika eneo hili nakuwa hali si shwari vipi muwazima nyie?"
“ndio Baba sie wazima wahafya ongea na Glory huyu hapa
Wakati Glory anapewa simu akaikumbuka simu yake na kuanza kujipapasa huku mkono mmoja akiongea na simu
“Ndio Baba si niwazima ndio tunaelekea nyumbani!"
“Sawa mwanangu mi inabidi tukutane huko nyumbani mnipe maelezo kuhusu hao watu ikibidi leo hii hii wakamatwe!"
Glory kwanza akaguna na kuitikia
“Sawa Baba"
Ni tukio ambalo lilitikisa nchi nzima kila mwananchi akaongea lake wapo waliosema ni Movie mpya ile inaitwa my Virgin kutoka kwa mtunzi mahili hapa nchini anekwenda kwa jina
la Immanuel Kway
wengine wakasema sio movie ni majambazi walikuwa wamegeukana baada kudhurumiana pesa.
Yani ilimradi kila mtu aonekane yuko sahihi.
Baada kupita kama Siku nne hivi
Tunamuona Salma
akiwa na
Chanduka maeneo ya kariakoo kwenye kimgahawa kimoja hivi wakipata
Juice na sambusa.
“Salma hivi unahabari kama Nusraty amerudi tens?"
Salma akastuka kutokana na lile swali na kuuliza kwa mshangao
“unasemaje Chandu?"
“nakuuliza hivi una taarifa ya kwamba Nusraty amerudi tena hapa duniani kwa ajili ya kulipa kisasi?"
Salma akajifanya kama ajui kitu akauliza
“wewe umejuwaje na nani amekwambia maana nijuavyo Mimi mtu akishakufa ndio basi tena sasa nashangaa unavyoniambia eti karudi tena!"
Chanduka akamuangalia Salma kwa kumkazia macho mpaka Salma mwenyewe akaona aibu na kuinamisha sura yake chini.
“Sikia nikwambie kitu Salma mimi nina uwezo mkubwa sana tena sana unaiyona hii kariakoo na huu wingi wawatu wote hawa naweza kupambana nao na wote nikawateketeza usiulize njia gani nitakayo itumia
Sasa Nusraty ni mtoto mdogo sana
kwangu hata kama ananguvu kutoka kuzimu basi atarudi huko kuzimu akiwa maiti
kingine naomba nikuulize kitu hivi yule Binti siku ile kule hospitali akanikunja nikajikuta nampiga ngumi ni nani yako au yuko vipi?"
Salma akashindwa kujibu kitu
akabaki kimya tu.
“Salma kumbuka tulipotoka hutakiwi kunificha chochote kile niambie una mahusiano gani wewe na yule Binti?"
Salma akamtizama Chanduka
na kumwambia.
“Baby ni story ndefu kidogo siwezi kukwambia hapa kama vipi tutafute chumba tukakae huko nitakupa full story!"
Chanduka akaitikia
Oky akatoa wallet akalipia na kunyanyuka wakaingia kwenye gari wakasepa mpaka maeneo ya ilala wakaisaka hoteli iliyotulia na kupata chumba
baada kuingia ndani hakuna aliyekuwa na shobo na mwenzie zaidi ya
Chanduka kukaa kwenye kiti
Salma kwenye kitanda full story ikaanza
Akamsimulia kila kitu hakumficha chochote kile
Hakika Chanduka mchozi ulimtoka
akajilaumu kwa kitendo cha yeye kumuuwa Baba yake
Nusraty kumbe kuna watu walikuwa wanauwa kwa ajili yake dahaa.
Chanduka nae akasema kwanini alimpiga ngumi yule
Msichana basi
Salma akastuka kwa mshangao akauliza
“khaa! inamaana yule mpelelezi ulikuwa ni wewe?"
“ndio nilikuwa Mimi yani mngeniuwa aisee....
Chanduka nae akaenda kukaa kitandani na kumtizama
Salma kwa matamanio
wakajikuta wanakumbatiana
Chanduka akaivua ile sura ya bandia akaingia bafuni kuoga maana kuna mechi inaitajika kuchezwa mechi ya enzi za mabibi na mababu.
Akiwa bafuni kajipaka sabuni hadi usoni yani macho kafumba
Akastukia mikono lainii....Ikimtambaa kuja kufumbua macho
Ghafla akastuka....
Nini tena..
Je nini kitaendelea?
Twende sawa