je mnaweza kuamini kuna mtanzania hapa dar anafanyakazi kampuni moja ya simu ya hapahapa tz,analipwa tsh.6omillion???!!! Nina ushahidi wa kutosha coz nimeona saraly sleep yake,na nikaipiga picha ktk cm yangu. Ila nahofia maisha yangu,kwani ana bastola zaidi ya mbili, na ni halali,moja kati ya...