Recent content by Amiry Ramadhan

  1. Amiry Ramadhan

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Hali ya maisha imekuwa mbaya kipindi hiki cha mlipuko wa maambukizo ya CoViD-19 Sent by nCOVID-19
  2. Amiry Ramadhan

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa namna ya kuchoma nyama kama toroka uje

    Agizia kidari kisha kichane vizuri ukiweke kwenye maji yenye mchanganyiko wa ndimu kiasi na tangawizi kwa masaa kazaa inategemea na wingi wa nyama kisha itoe uiweke kwenye sehem kavu kwenye jua sio mbaya..kisha ivhome kwenye moto kwaa mbali kwenye foili ita faa zaidi... Ikiferi nishtue nije...
  3. Amiry Ramadhan

    JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    SUBILI Sent by nCOVID-19
  4. Amiry Ramadhan

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    juma uredi [emoji867] Huo mfano wake
  5. Amiry Ramadhan

    JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    1.mobile
  6. Amiry Ramadhan

    JamiiForums Tanzania Aina ya Mask na matumizi yake

    Tazama picha hapa chini ni kielelezo tosha Sent by nCOVID-19
  7. Amiry Ramadhan

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Mwenye uweredi wa kutengeneza feed ration (chakula cha kuku wa nyama /bloiler) kwa njia ya manual..yaani vifaa vya nyumbani please msaada..usisahau kunitag.. Sent by nCOVID-19
  8. Amiry Ramadhan

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kusajilia line za mitandao yote

    Unayo namba ya nida pamoja na TIN Namba..? Nicheki DM Sent by nCOVID-19
  9. Amiry Ramadhan

    JamiiForums Tanzania Niulize swali lolote kuhusu kuingiza pesa kupitia YOUTUBE

    Duh..hii ni muhimu sana kwa vijana hawa wa kipindi hiki cha MAGU Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Amiry Ramadhan

    JamiiForums Tanzania Friji american style

    Napatikana temeke Dar es salaam.. Karibuni Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Amiry Ramadhan

    JamiiForums Tanzania Friji american style

    Ni economic sanaa...ni friji ya kisasa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Amiry Ramadhan

    JamiiForums Tanzania Friji american style

    450000Tzs Karibuni sana Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Amiry Ramadhan

    JamiiForums Tanzania Ijue siri kuu iliyomo ndani ya mafanikio ya ulimwengu wa biashara.

    Respect to the participants Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Amiry Ramadhan

    JamiiForums Tanzania Friji american style

    Friji ipo kwenye hali nzuri muonekano mpya haijachezewa sehemu yeyote. Lina milango miwili american doors na freezer -drow mbili kwa chini..Nauza kwasababu nataka kuhama..hivyo napunguza vitu .BEI ni 450,000/= 0753532462. WhatsApp pia ni namba hiyo hiyo... Sent using Jamii Forums mobile app...
  15. Amiry Ramadhan

    JamiiForums Tanzania Vodacom CEO Hashim Hendi must go. Tunaibiwa sana bundle

    Vodacom Tanzania wamezidi sana kutuibi bandle ( data ) zetu..huo ni wizi na uhujumu uchumi namba moja kawahi kutokea nchini
Back
Top Bottom