Recent content by amigod

  1. A

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane Lugha ya Kifaransa

    Huoni kuwa unauza u taifa wako kwa kujifunza lugha na tamaduni za mataifa mengine
  2. A

    JamiiForums Tanzania Natamani kusikia ni namna gani wasomi wetu watatumika katika matumizi sahihi ya rasilimali zetu

    Habari za wakati huu kwenu JF, Natamani kusikia Wagombea wetu wa nafasi ya Urais wakija na vipaumbele vya taifa hili kama ni jinsi gani watawatumia wasomi wetu kwenye gesi na mafuta Ziwa Rukwa, mafuta yaliyopo Kilwa. Tutawatumiaje wasomi wetu kuchimba ulanga Morogoro. Wajiolojia wapo...
  3. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Iringa & Njombe, atoa pole kwa Vifo 10, Kwanini Chato ni agenda ya Uchaguzi

    Mchakato ulikwama kwa sababu hiyo na nyingine kupunguza mamlaka ya u teuzi kuondoa kinga ya kushitakiwa akifanya makosa nk tutachelewa kujikwamua tulipo Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
  4. A

    JamiiForums Tanzania CCM waanza kufunga virago Zanzibar, waihofia ACT-Wazalendo

    Vyote ni vyama vyetu iwe ccm.cdm.chauma nk chochote kitawale ila kisitutenge kwa udini au ukabila tubaki na tanzania yetu sawa tu zec isimamie haki kuzaliwa tabora au unguja visiwe sababu ya kutawala huku au kule tubaki ni mtanzania popote anaishi ndani ya Tanzania Sent from my SM-N910H using...
  5. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Iringa & Njombe, atoa pole kwa Vifo 10, Kwanini Chato ni agenda ya Uchaguzi

    Kura zikihesabiwa kwa haki na sheria ccm hawezi shinda bali analindwa na katiba ya nchi ambayo hairuhusu mtu nje ya ccm kuingia ikulu hata kama magu atapata kura moja tu inatosha kutangaza hata mpinzani apate kura mil 70 bado atakuwa ameshindwa mpaka katiba yetu ibadilishwe upinzani utaingia...
  6. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Iringa & Njombe, atoa pole kwa Vifo 10, Kwanini Chato ni agenda ya Uchaguzi

    Mkuu katiba yetu hairuhusu mtu nje ya ccm kutawala ilifungwa vibaya ndio yatakayo tokea wakati wa kutangaza matokeo lazima asomwe wa ccm Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
  7. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Iringa & Njombe, atoa pole kwa Vifo 10, Kwanini Chato ni agenda ya Uchaguzi

    Wakileta misaada wa naitwa wafadhiri (wahisani) wakiwa upande huo wakiwa upande ule ni mabeberu haohao Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
  8. A

    JamiiForums Tanzania CCM waanza kufunga virago Zanzibar, waihofia ACT-Wazalendo

    Sasa huo ubaguzi sisi ni watanzania nchi moja tujadili kuwa na uchaguzi huru na haki ukabila na udini iwe mwiko kwetu Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
  9. A

    JamiiForums Tanzania Hebu nisaidieni ni lipi neno sahihi kati ya haya mawili Shtua au Stua?

    Sahihi ni stua maana yake kitu ambacho hukutaraji kitokee kikakutokea.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Picha: Huu ni mtihani wa mwanafunzi wa kidato cha NNE!!

    Elimu yetu inawaandaa watoto wetu kuwa watawaliwa wa taifa lijalo viongozi wetu wanafikla za leo kesho hawajui tofauti na mataifa makubwa huwa na fikla za miaka sabin hatuwezi kutoka hapa tumefungwa pingu za maisha Sent using Jamii Forums mobile app
  11. A

    JamiiForums Tanzania Naomba anayefahamu maisha ya Rwanda anipe mwongozo

    Ni kugumu hasa kama unatoka tanzania kwa kuwa fedha yao ni kubwa ukilinganisha na fedha ya Tanzania faranga kuwa tshs utachukia nenda Uganda au zambia Sent using Jamii Forums mobile app
  12. A

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya habari tbc

    Kama ukikuta wenyewe wanatazama unafanyaje lazima uvumilie tu hata kama hutaki Sent using Jamii Forums mobile app
  13. A

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya habari tbc

    Nadhani itakuwa hivyo kama hukusikia usichangie unaonyesha jinsi ulivyo na upeo mfupi kuchakata vitu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. A

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya habari tbc

    Majibu mepesi swali gumu mkuu acha tu kama huna utashi wa kutafakari jambo Sent using Jamii Forums mobile app
  15. A

    JamiiForums Tanzania Wanaume tumeruhusu wanawake wahodhi nguvu za kiroho (uchawi) then there is no hope for the future

    Mtoa mada naye mshirikina tu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom