Naomba anayefahamu maisha ya Rwanda anipe mwongozo

Habari zenu
Sina mengi zaidi Naomba anae faham maisha ya rwanda anipe mwongozo
(1) Kibiashara
(2)Kilimo No

Sent using Jamii Forums mobile app

Wana ardhi ndogo kwa hio chakula sehemu kubwa kinatoka Tz especially mchele,so wabongo wanapeleka sana mchele na vyakula vingine huko.

Kutokana na mgogoro wa Rwanda na Uganda kwa sasa 90% ya bidhaa zinazoingia Rwd zinapitia bandari ya dar,so unaweza kuangalia namna ya kufaidika na hali hio.

Biashara yoyote ile inafanyika cha msingi uwe na vibali tu na wako very serious na suala la kukusanya kodi.

Rushwa hakuna,usije ukajichanganya kutoa rushwa kwa askari au kwny mamlaka za serikali watakupa tabu sana.

Story za kuulizana makabila hawana(ni kitu sensitive kwao).

Khs usalama,ni 1 kati ya nchi salama zaidi Africa,patrol ya kijeshi/police ni 24/7 na hawana habari za kukamata raia,ukilewa zako usiku na ukaona huwezi kufika kwako we ukimuona mjeda/police yuko patrol we mwambie nimelewa na siwezi kufika home utalala hapo pembeni yake mpk asubuhi utakapoamka cha msingi usifanye vurugu ukiamka ondoka zako hakuna kitu atakufanya wala kukuomba hela,huyo anayesema wanachinjana nadhani ni wale wazee wa elimu za hapa na pale.
IMG_6668.JPG

Ukifika huko story za kumtaja taja Kagame kwny vijiwe vya story achana nazo,ukianza hizo story utaona tu wananchi wananyanyuka wanasepa.Inshort pale ni mkono wa chuma uko kazini,we kachape kazi iliyokupeleka siasa achana nazo.

Kigali ni mji expensive kiasi kuishi,so itategemea unataka kuishi eneo huko Rwanda.

Ukitoa Tsh 243,000 unapewa hela ya rwanda Rwf 100,000 na vitu vya kununua ni expensive kidogo pia maana vitu vingi wana export.

Wadau wengine wataendelea.
 
Wana ardhi ndogo kwa hio chakula sehemu kubwa kinatoka Tz especially mchele,so wabongo wanapeleka sana mchele na vyakula vingine huko.

Kutokana na mgogoro wa Rwanda na Uganda kwa sasa 90% ya bidhaa zinazoingia Rwd zinapitia bandari ya dar,so unaweza kuangalia namna ya kufaidika na hali hio.

Biashara yoyote ile inafanyika cha msingi uwe na vibali tu na wako very serious na suala la kukusanya kodi.

Rushwa hakuna,usije ukajichanganya kutoa rushwa kwa askari au kwny mamlaka za serikali watakupa tabu sana.

Story za kuulizana makabila hawana(ni kitu sensitive kwao).

Khs usalama,ni 1 kati ya nchi salama zaidi Africa,patrol ya kijeshi/police ni 24/7 na hawana habari za kukamata raia,ukilewa zako usiku na ukaona huwezi kufika kwako we ukimuona mjeda/police yuko patrol we mwambie nimelewa na siwezi kufika home utalala hapo pembeni yake mpk asubuhi utakapoamka cha msingi usifanye vurugu ukiamka ondoka zako hakuna kitu atakufanya wala kukuomba hela,huyo anayesema wanachinjana nadhani ni wale wazee wa elimu za hapa na pale.View attachment 1395541

Asante sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jitayarishe na K zenye misimi kama mgongo wa kinyonga usisahau kilago cha kumpa aweke chini mnapolala la sivyo utalala chini wanalowesha sana magodoro kwa maji. Maisha yapo juu sana. Ukikwama kuna sehemu wanapaki magari ya Tanzania karibu na hotel ya Okapi. Uchafu wako ukauache kahama.

Umeongea na FACTS,big up bro
 
Duh! Hao madem wa huko nawazimikia Sana! Hizo k za kumwaga maji ndio nzuri bro! Unagegeda hadi maji yanakauka!

Wazuri sana halafu ulinzi ni uhakika ukimchukua anaacha kitambulisho mapokezi na asubuhi unamkabidhi chake unampeleka mapokezi. Sio Buguruni hofu tu. Mkuu maji ni uhai wanatoa sana maji halafu wanamisimi imejaa utadhani kaweka kipande cha sabuni mbunju. Mazuri kweli. Huku akina havinitishi hawana maji mishauo kibao fyuuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natafuta host huko, na mm niende kwa ajili ya kupata dem tu, maana napenda sana hiyo misimi na mimaji.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Excellent detailed feedback, PK hatajwi hovyo unakula shaba.
Wana ardhi ndogo kwa hio chakula sehemu kubwa kinatoka Tz especially mchele,so wabongo wanapeleka sana mchele na vyakula vingine huko.

Kutokana na mgogoro wa Rwanda na Uganda kwa sasa 90% ya bidhaa zinazoingia Rwd zinapitia bandari ya dar,so unaweza kuangalia namna ya kufaidika na hali hio.

Biashara yoyote ile inafanyika cha msingi uwe na vibali tu na wako very serious na suala la kukusanya kodi.

Rushwa hakuna,usije ukajichanganya kutoa rushwa kwa askari au kwny mamlaka za serikali watakupa tabu sana.

Story za kuulizana makabila hawana(ni kitu sensitive kwao).

Khs usalama,ni 1 kati ya nchi salama zaidi Africa,patrol ya kijeshi/police ni 24/7 na hawana habari za kukamata raia,ukilewa zako usiku na ukaona huwezi kufika kwako we ukimuona mjeda/police yuko patrol we mwambie nimelewa na siwezi kufika home utalala hapo pembeni yake mpk asubuhi utakapoamka cha msingi usifanye vurugu ukiamka ondoka zako hakuna kitu atakufanya wala kukuomba hela,huyo anayesema wanachinjana nadhani ni wale wazee wa elimu za hapa na pale.View attachment 1395541

Ukifika huko story za kumtaja taja Kagame kwny vijiwe vya story achana nazo,ukianza hizo story utaona tu wananchi wananyanyuka wanasepa.Inshort pale ni mkono wa chuma uko kazini,we kachape kazi iliyokupeleka siasa achana nazo.

Kigali ni mji expensive kiasi kuishi,so itategemea unataka kuishi eneo huko Rwanda.

Ukitoa Tsh 243,000 unapewa hela ya rwanda Rwf 100,000 na vitu vya kununua ni expensive kidogo pia maana vitu vingi wana export.

Wadau wengine wataendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahutu hawana chao huko...Hamna siasa za kina kigogo,mchele unatoka Tz na ni bei Kali,ni fursa kama una mtaji,gharama za maisha zipo juu.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom