Recent content by amd14

  1. A

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Al-Huda lafanya uchochezi

    mbona mnataka kumsemea msigwa? Mwenyewe kasha sema chadema ni kanisa, wanahubiri wokovu. kitu gani kisicho eleweka hapo? mbona kiswahili chepesi kabisa hicho au hamjui maana ya kanisa???
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mhubiri nchini Afrika Kusini, huwalisha waumini nyoka, nywele, huwakanyaga eti ili kupima imani yao

    dini za watu katika ubora wake. Dini ya MwenyeziMungu ni moja tu, haina ubabaishaji katika mafundisho yake. Hakika wajinga ndio waliwao.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kuponda ponda simu za wanafunzi sio sawa

    safi sana, kazi nzuri hiyo
  4. A

    JamiiForums Tanzania Maigizo ya Edward Lowassa yazidi kugonga mwamba!

    msanii lowasa katika ubora wake. anataka kutumia fedha kununua uongozi. Hilo haliwezekani kamwe
  5. A

    JamiiForums Tanzania Australian Water Company Quoting Prophet Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam...

    Mashaalahh maneno ya Mtukufu wa Daraja Mtume na kipenzi cha Allah subuhana wataala. Maneno yake na matendo ni muongozo kwa wanadam wote, wenye chuki hawataki kuuona ukweli ukodhihiri
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mbowe atajwa kuwa kiongozi bora wa upinzani Afrika

    nenda kaombe kazi kwa kutumia hekima na busara uliyo nayo uone kama watakuajiri
  7. A

    JamiiForums Tanzania Magufuli amekosa mvuto au wingu la kukatwa Lowassa?

    bora umwambie, mafisadi wanataka kutununua watanzania wote. HATUDANGANYIKI
  8. A

    JamiiForums Tanzania Hivi Kikwete hakujuwa madhara ya kukata jina la Lowassa au alitiwa upofu?

    Wanajifanya wana impact katika nchi hii, mbona hiyo impact hatuioni? Lowasa ni mchafu hata akioshwa kwa acid hasafishiki
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ulinzi kwa Dr. Magufuli ni wa kichama?

    Nyie ndio mnao changanya mambo, Lowasa kiongozi mstaafu analindwa na kutumia gari la serekali hata katika shughuli zake binafsi. Iweje magufuli waziri kamili aliye kazini asitumie usafiri wa serekali? Magufuli hakuanza kulindwa leo, tangu wakati wa mkapa alipewa ulinzi wa ziada kutokana...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Ulinzi kwa Dr. Magufuli ni wa kichama?

    kwani kikwete, bilali au shein akiwa kwenye shuhuli za Chama huwa halindwi?? Na huwa anatumia gari la serekali au la chama???
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ulinzi kwa Dr. Magufuli ni wa kichama?

    anaweweseka wakati bado hata kazi haijaanza
  12. A

    JamiiForums Tanzania Dhuluma na uonevu wa Askari umeleta uadui kati ya Raia na Askari

    Police wa Tanzania wana Hali mbaya sana kutokana na mfumo wao mbovu wa ufanyaji kazi. Rushwa imetawala na shule wameipa kisogo hawataki kubadilika kulingana na dunia ya sasa ilivyo. It will take years kuwa na Jeshi makini la Police
Back
Top Bottom