Recent content by AMBASSADOR-M

  1. AMBASSADOR-M

    JamiiForums Tanzania Shigongo: Hivi ndivyo nilivyomalizana na CCM

    UMEMALIZA MKUU
  2. AMBASSADOR-M

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais tafadhali naomba kukupa ushauri japo sistahili kufanya hivyo

    Watuzuie adi kunya na kukojoa tutie adabu maana watanzania akili zetu za woga woga sana.
  3. AMBASSADOR-M

    JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako apiga marufuku uvaaji wa Majoho kwa wahitimu ngazi za chini

    Tatizo siyto waziri, tatizo ni mfumo wa siasa zetu na hasa chama cha kijani na njano ndiyo kiini cha haya yote. WANAJIONA WAO NI ZAIDI HATA YA MUNGU, mbweha kweli hao jamaa. They have certificates but cheap minds at all. Cann't come up with some revolutionary ideas that will boost sectors and...
  4. AMBASSADOR-M

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya Home Theatre na Sub-woofer?

    Enlightment on entertainment...Bhabheja sana
  5. AMBASSADOR-M

    JamiiForums Tanzania Mtukufu Rais bora tu angeandika R.I.P

    Daaah nimecheka sana, wamwambie kukurupuka tuu ka bro k wa futuhi hahahahaaaa
  6. AMBASSADOR-M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuishi na mjinga milele umnyime anachotaka

    Hahahahaaa
  7. AMBASSADOR-M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tusiwafadhaishe wanawake, tutimize wajibu!

    Mungu alituagiza tuishi na viumbe hivi kwa AKILI
  8. AMBASSADOR-M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lazima heshima irudi

    Ukiishinda hasira na kisasi na wewe utaitwa mwana wa Mungu, utaitwa intelligent. Kinyume na hapo basi wewe ni mdhaifu na mwana wa shetani kwa sababu ya ghadhabu yako
  9. AMBASSADOR-M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lazima heshima irudi

    HHAAHAHAAA
  10. AMBASSADOR-M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    Kuna golikipa anavaa jezi namba 103 lakini anajua sana kudaka mpira, kuna mshambuliaji anavaa jezi namba 30 lakini anafunga magoli vzuri sana. IT'S NOT ABOUT THE NUMBER but what comes from within, To God there's no such age limit. Remember Abraham and sarah, at the age of 90/100 they were able...
  11. AMBASSADOR-M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aitia Saini Sheria ya Huduma za Habari 2016

    Is this your end of thinking? This is very worse
  12. AMBASSADOR-M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aitia Saini Sheria ya Huduma za Habari 2016

    unahisi kuwa mimi ni mdogo wako? umetumia kanuni gani mkuu?
  13. AMBASSADOR-M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aitia Saini Sheria ya Huduma za Habari 2016

    Hawa watu wagumu vichwa kuelewa, hata wakikatwa vichwa wao sawa tuu Erythrocyte
  14. AMBASSADOR-M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aitia Saini Sheria ya Huduma za Habari 2016

    section 7 inachagua nini aandike kuhusu serikali na yepi asiyaandike... hvi wakati mswada wengine mlikuwa hamuoni kuwa hii sheria dhamira yake ni kuilinda serikali dhaifu na serikali inayoogopa. Kama wanajiamini kwann msiweke sheria inayoweka uhuru na mipaka tuu? sheria zinazodhamiria kulinda...
  15. AMBASSADOR-M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aitia Saini Sheria ya Huduma za Habari 2016

    hahahaaaa mpaka serikali iseme mwandishi wa habari aandike nn aache nn, loooooh... Tanzania pooor kabisaaaa
Back
Top Bottom