Shigongo: Hivi ndivyo nilivyomalizana na CCM

Shigongo: Hivi ndivyo nilivyomalizana na CCM

Acha kulalamika hiyo ndiyo CCM,wanakutumia ,wakifanikiwa shukrani yao ni mateke ya punda.
 
shigongo,ukishalipwa karibu ukawa......au tumia magazeti yako kuomba radhi
 
A

Anatufunga kamba tu...CCM wamemtia kitu kdogo..na vyovyote iwavyo wamemhakikishia Mali zake kutopigwa mnada.ndio maana anakuja na ngonjera zake hapa.
Labda kama BANK ya CCCM lkn kama ya Biashara utamsikia siku akijiliza huko fesibuku
 
Kwenye maelezo yako umeongeza chunvi nyingi. Awali cm ya kinana iliita bila kupokelewa . Ulituma sms za whatsap zilionekana kusomwa bila kurudishwa majibu!! Leo hii et alikua nje ya nchi!! Hili jukwaa sio watoto wako wanaosoma story zako za uongo na ukweli!! Kiujumla umekubali wao wakufanye wanavyotaka subiri watakumalizaje . Ila usituletee utetezi wa kitoto wa kwann utakaa kimya!!
 
Acha kulalamika hiyo ndiyo CCM,wanakutumia ,wakifanikiwa shukrani yao ni mateke ya punda.
CCM wamekomaa siyo CHAMDOMO, wanatofautiana na mw8sho wa siku wanaelewana. Kwa mara nyingine tena SHIGONGO kawaaibisha vijana wa BAVICHA
 
Duh! Hi habari ni tamthilia nyingine. Pole Shigongo, najua ipo siku utalipwa tu, kama sio hapa Duniani, basi Mbinguni...
 
Ule msemo eti yote hapahapa duniani kwa Mungu hesabu tu unaweza kuwa na maana yoyote..???
 
Ukumbuke CCM 2015 haikufadhiliwa na mfanyabiashara yoyote yule na kama yupo anyooshe mkono.
 
CCM wamekomaa siyo CHAMDOMO, wanatofautiana na mw8sho wa siku wanaelewana. Kwa mara nyingine tena SHIGONGO kawaaibisha vijana wa BAVICHA
Hakuna ambaye ana weza kubisha kuhusu kukomaa kwa CCM hasa katika mambo yale ya kuwapiga mizinga akina Shigongo.
 
Huyo nae baada ya kucheleweshewa malipo yake naona atatapika hadi nyongo.
 
Mfa maji haachi kutapatapa Eric Shigongo alitaka atepeli tunaomba asome alama za nyakati kulialia hakumsaidii
 
Nmeisoma yote lkn namuuliza mpk anaandika haya alikubaliana na wale wazee aandike au ni namna ya kuwafunga kwa kumbukumbu hii, pia bado Diallo nae siku si nyingi mtamsikia humu akihangaikia madeni yake
 
Hahahaha shigongo ameongea kiyume. Agesema lowassa alishinda uchaguzi ila ccm(inzi wa kijani) waliiba kura.
Hata takwimu zinakataa Lowassa kushinda Uchaguzi Mkuu. Hata kura alizopata alitokanazo 2.4m huko CCM.
 
Asingetapeliwa angesema Lowassa alishindwa kwenye uchaguzi, hahaha, ajiandae mwaka 2020 amsifie mgombea wa chadema.
 
Back
Top Bottom