Recent content by Ambakucha

  1. A

    JamiiForums Tanzania Wakunyumba traditional party; Dk. Emmanuel nchini atarajiwa ugeni rasmi wa hafla

    Zikiwa zimesalia siku 27 kuifikia Agosti 14, 2026 ili kufanyika hafla kubwa ya Wangoni Traditional Party, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dk. Emmauel John Nchimbi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa tukio hilo la kipekee. Hafla hiyo inayowakutanisha jamii ya watu kutoka...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Wakunyumba traditional party yaita wadhamini

    Waandaaji wa sherehe kubwa ya Wakunyumba Traditional Party, MS Production chini ya mkurugenzi Lucy Francis Komba, wamesema bado wanahitaji wadhamini kutoka pande zote za nchi. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Lucy Komba amesema kuwa, baadhi ya makampuni yamejitokeza kudhamini hafla hiyo lakini...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wakunyumba tradional party; sasa siku zinahesabika

    Hahaha. Ndiyo maana ya neno 'n.k.'
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wakunyumba tradional party; sasa siku zinahesabika

    Ile sherehe kubwa, ile dhifa ya kiasili, ile pati ya aina yake, ile shughuli ya ukweli, inayojulikana kwa jina la Wakunyumba Tradional Party itakayowakutanisha Watanzania kutoka Kabila la Wangoni, sasa siku za tukio zinahesibika. Bado siku 27 tu! Kuifikia siku ya tarehe 14, Agossti 2026, Ijumaa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania UHONDO HALISI, soma hii

    Hahaha. Niko kazini kuchunguza ukweli/uongo wa mtoto mpendwa
  6. A

    JamiiForums Tanzania UHONDO HALISI, soma hii

    UHONDO HALISI Kwenu wadau, kwa yule ambaye atakuwa tayari. Kila Jumatatu nitakuwa nawaandikia mambo yafuatayo; 1. INAYOTRENDI (itakuwa habari yoyote ambayo inavuma sana. Lakini itaandikwa kwa kina. Itakuwa ya mtu maarufu, ya kijamii, ya imataifa lakini iliyotrendi). 2. UNTOLD STORY (itakuwa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Shabiby Aifagilia Bajeti Kuu, ampa tano Waziri wa Fedha, Akiwatetea Bodaboda

    Wakati akiritirisha maoni, ushauri kwenye kuchangia Bajeti Kuu ya Serikali ya Mwaka 2025-2030, Mbunge wa Gairo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ahmed Shabiby amesema kuwa, kwa mara ya kwanza mwaka huu (2026) ameona bajeti iliyo bora sana katika bajeti nyingi alizowahi kushuhudia. Mbunge huyo...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali ina mpango gani kuondoa foleni ya barabara ya Mandela?

    Mfano mzuri jana Juni 15, 2026. Kuanzia saa 1 usiku na kuendelea. Daa! Nilijuta.
  9. A

    JamiiForums Tanzania 'AI' yatajwa kutumika kumchafua mbunge Shabiby kwenye sauti mtandaoni

    Wakuu poleni na kazi. Niende kwenye hoja. Kwa saa ishirini na nne zilizopita kumekuwa na sauti (audio) mtandaoni ikidaiwa ni ya Mbunge wa Gairo (CCM), Ahmed Shabiby akiwaelekeza watu wake wamkamate na kwenda kumlawiti mwananchi aliyempigia simu kumuuliza habari za maendeleo ya jimboni kwake...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Matamshi ya mbunge Simai wa Zanzibar yazua taharuki ndani ya Chama cha Mapinduzi, yaibua ishu zake

    Anaitwa Simai Mohammed Said. Awali alikuwa Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar kwa Jimbo la Tunguu (CCM). Baadaye Rais Samia akamteua kuwa Mbunge (wa kuteuliwa) wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika zile nafasi 10 za Rais. Hivi karibuni mbunge Simai amezua mjadala uliyosababisha...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mastaa watakao kuwepo kwenye 'Wakunyumba Traditional Party' ni hawa

    Kikosi cha mastaa zaidi ya 10 kutoka Kabila la Wangoni kinatarajiwa kuonekana jukwaani siku ya Wakunyumba Traditional Party, wote wakiwa masupa staa wa sanaa mbalimbali. Kwa mujibu wa muandaaji wa sherehe hiyo, Lucy Francis Komba, mastaa hao wanafanya vizuri katika tasnia ya muziki wa Bongo...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mastaa watakao kuwepo kwenye 'Wakunyumba Traditional Party' ni hawa

    Kikosi cha mastaa zaidi ya 10 kutoka Kabila la Wangoni kinatarajiwa kuonekana jukwaani siku ya Wakunyumba Traditional Party, wote wakiwa masupa staa wa sanaa mbalimbali. Kwa mujibu wa muandaaji wa sherehe hiyo, Lucy Francis Komba, mastaa hao wanafanya vizuri katika tasnia ya muziki wa Bongo...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Wakunyumba tradition’s party ya wangoni yaja bongo

    Sherehe kubwa itakayowakutanisha Watanzania kutoka Kabila la Wangoni inakuja. Itafanyika jijini Dar es Salaam. Lakini pia watu kutoka makabila mengine watapokelewa kuhudhuria. Sherehe hii itakuwa endelevu. Itakuwa ikifanyika kila mwaka katika ukumbi au eneo litakalopendekezwa na kamati ya...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Wabunge 7 wanaotajwa kuwa na michango yenye mashiko Bunge la 13, 2025

    Wabunge wenye michango yenye mashiko katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wapo wengi. Lakini hapa wanatajwa wabunge 7 tu ambao wakipewa nafasi ya kuongea, michango yao au hoja zao hutikisa bunge lenyewe na kuvuka mipaka hadi mitandaoni, wakati mwingine mpaka kurasa za mbele za...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kutoka Dodoma kwenda Tanga kupitia Chalinze, panda mabasi bora ya Shabiby lile, ruti iko vilevile

    Kumekuwa na maneno, machapisho mitandaoni kwamba, ruti ya mabasi ya Shabiby Line kutoka Dodoma kwenda Tanga kupitia Chalinze imekufa. Siyo kweli hata kidogo. Ruti hiyo bado ipo palepale na ipo vilevile. Dodoma- Tanga na Tanga- Dodoma kupitia Chalinze kama vibao vya utambulisho mbele ya mabasi...
Back
Top Bottom