Recent content by ambagae

  1. A

    JamiiForums Tanzania Siku 10 za Gwaji haIjafika tu, au ndo shingo haipiti kichwa.

    Siku 10 za Gwaji hazijafika kweli au zimepitiliza na kweli shingo haipiti kichwa
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mh Polepole anawauliza hapa ni wapi?

    Afya ya akili
  3. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kigogo: Humphrey Polepole aomba hifadhi Sweden!

    Kwani nchi hiyo hawajui kuwa alikuwna na awamu ya tano
  4. A

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya latishia kuinyima misaada Tanzania

    Si
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ukishangaa ya Polepole usisahau kushangaa ya mwendazake na Mama

    Naona ule msemo wa nyani haoni kundule kwa sasa unamfaa sana slow slow, au baada ya kukaa ubalozini anadhani Watanzania waliokuwepo wakati huo wake hawapo Tena duniani hakuna anayekumbuka aliyoyatenda.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya nchi hii chanzo ni ndugu Nyerere

  7. A

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Cde. Polepole, Kuna kitu Watanzania hawakielewi

    Uchaftu. Andika kiswahili
  8. A

    JamiiForums Tanzania Polepole ni maadili gani ambayo yalikuwepo awamu ya 5 na sasa hivi hayapo?

    Huyo anatafuta GIA ya kubakia majuu Huyo anatafuta gia ya kubakia majuu, amenogewa.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Hali tete Simiyu, wananchi wanalazimishwa kwenda kwenye ziara ya Rais Samia

    Haihitaji kuwa na D mbili kuielewa hii. Sasa mwananchi aliye mbalo kama km 100 atafikaje. Haihitaji kuwa na D mbili kuielewa hii. Acha uchawa, Sasa kama wananchi wanaishi kilomita 100 kutoka sehemu ya tukio watafikaje kama sito kupelekewa usafiri. Halafu usidanganye watu maana wananchi Huwa na...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mchoro: Hii ndio Nguvu ya No Reforms No Election inayotikisa Nchi na kusababisha Bajeti Kuu Bungeni kupuuzwa na kila Raia

    Mvua gani ya kulowanisha mtu mmoja tu huku mwingine akipiga picha. Igizo.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Polisi wazingira Kanisa la Gwajima la ‘Ufufuo na Uzima’ usiku. Wananchi wajazana eneo la tukio, wagoma kuondoka!

    Naona ulikuwa mnufaika wa utapeli wake aliokuwa anaufanya kudanganya watu kufufua wafu, wakati hakujaribu hata kumfufua mama yake.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Polisi wazingira Kanisa la Gwajima la ‘Ufufuo na Uzima’ usiku. Wananchi wajazana eneo la tukio, wagoma kuondoka!

    Nimefurahi sana tapeli anatia aibu ukiristu tapeli afya akili
  13. A

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi imetumia kanuni gani kuahirisha mchezo wa derby?

    Uoga tu unawasumbua
  14. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi: CCM tunafanya siasa za ustaarabu na maendeleo

    Wale wengine uongo na matusi mtindo mmoja
Back
Top Bottom