Kuna mtu aliripoti kuwa mwanasheria alikuwepo, aliwezaje kuruhusu hayo yote kutokea? Na ni nini wajibu wake kama mwanasberia ambapo hayo yote yametokea mbele yake na asijue mteja wake kapelekwa wapi, kachukuliwa na nani na kwa nini?au na yeye Bashite?
Hii ikoje? Unatakiwa kuwa na line maalum au hii hii ya kawaida mradi tu uwe maeneo ya chuo?
Maana nimecheki *149*42# kwa line ya kawaida inaleta vifurushi ambavyo kiukweli vinavutia, hawa ndugu zetu wakati mwingine wanakata hela halafu kifurushi hupewi kama uko nje ya chuo.
Msaada tafadhali!
Nakumbuka tulipandishiwa bei ya mafuta ya taa hivi hivi na bei ya dizeli na petroli ikashuka hivi hivi kwa kisingizio cha uchakachuzi........ pumbavu sana!
Haisomi peke yake hii inamgusa kila mtanzania......... kwa mfano mimi sitoweza kusafiri...... maana hata bajaji imetajwa.... lori la mkaa limo, nk... kama kweli kwanza ni sheria ya hovyo kuwahi kutokea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.