illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
Binafsi nimekuwa nikimfatilia huyu mwanadada tangu anatangaza kituo fulani cha runinga, kisha akaja kuwa afisa uhusiano dawasco badae nikafurahi sana kumuona ametuwakilisha wa Tz katika (EALA)yaani bunge la Africa mashariki kipeperusha bendera ya kijani.
Pamoja na kutuwakilisha vyema dada huyu amekuwa na drama ambazo kama kiongozi zinatia aibu kidogo, kweli tunajua kuwa kila mtu ana privacy zake regardless cheo chake lakini kuna wadhifa ukishafika inabidi ubadilishe marafiki na hata kama una hobi fulani inabidi uende katika mazingira yanayofanana na wadhifa wako, miaka ya nyuma tulikuwa tunasoma kwenye kurasa za mbele maisha yake ya mahusiano na mwanamuziki wa mtindo wa kufoka foka alipiga picha mahusiano yao hayakuwa ya siri japo ni kinyume na mila na desturi zetu watanzania (unyumba) badae tukasikia anatoka na sugu mbunge wa Mbeya mjini mara kafanya fujo kwenye ndege nk hizo ni zile tulizozisikia.
Binafsi nilipata kumuona huyu mwanamama dodoma sikumoja kabla lady jay dee alikuwa anazindua wimbo wake wa ndindindi kuna club inaitwa club 7 inahoteli nilifikia pale usiku nikatoka nitafute mtu wa ku spend night naye siku hiyo kulikuwa na wadada wa high klas kwa hiyo ili kuongea na mtu lazima uwe supa staa au uwe na muomekano wa hela basi mimi na kimwili changu kidogo nimepiga kijinzi kimepauka kila naye muita ananipita nikaona bora nikae nje nile kwa macho wakati naenda haja nikaona mtoto mkali chotara ila kageukia ukutani hivyo sura huwezi kumuona alikuwa kavaa kama yuko sokoni kiukweli basi nikamfata na binafsi napenda machotara nikamgusa bega kugeuka lahaula kumbe ni Shyrose akaitikia salamu yangu huku anatoa moshi mdomoni domo likawa zito nikashindwa kusema chochote.
Kifupi ofisi ya maadili imefanya kazi yake, hata viongozi wakubwa wanafanya rubbish zao lakini kamwe hawaruhusu ziwaharibie credit zao mbele ya jamii....