Recent content by Amazon Woman

  1. Amazon Woman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa juu ya kampuni ya F.I.C

    F.I.C to the world😂😂uzuri ukiweka pesa less one month pesa inakuwa imerudi unaanza kutumia faida😂
  2. Amazon Woman

    JamiiForums Tanzania Hapa ndio ninapokuwa na walakini na uwepo wa Mungu

    Karma..
  3. Amazon Woman

    JamiiForums Tanzania Huu upweke unaniathiri sana akili mpaka nayakatia tamaa maisha

    😂😂😂au philomena ni mama yake
  4. Amazon Woman

    JamiiForums Tanzania Hii kitu imeniuma sana, nimebeba mifuko 70 ya Cement nimelipwa 1500

    Mungu asikie kuomba kwako
  5. Amazon Woman

    JamiiForums Tanzania Beatrice Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake kwamba ana fedha nyingi lakini hamsaidii mama yake

    Unaweza kuta huyo mama mwenyewe ndo tatizo.
  6. Amazon Woman

    JamiiForums Tanzania Beatrice Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake kwamba ana fedha nyingi lakini hamsaidii mama yake

    Kama mtu hujawahi kuwa breadwinner kwenye familia huwezi elewa situation ya Martha. Kwanza ndugu wasio na uwezo wanaungana against you, kuwasaidia inakuwa ni haki yao hata kama huna. Kibinadamu inatia sana unyonge moyoni inafika point mtu anakosa nguvu yakuendelea kutoa support anaacha liwalo na...
  7. Amazon Woman

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

    Mungu ambariki sana aliyeanzisha huu uzi na wachangaiji pia. Mashule shule tumesaidika sana.
  8. Amazon Woman

    JamiiForums Tanzania Kama wewe upo kwenye makundi haya halafu unakidharau na kukikashifu CCM tarajia laana kukuandama katika maisha yako

    Huwezi penda kutoka kura wa watu wajinga then ukakerwa na mawazo au maoni yao...Kikubwa Kazi iendelee🙏🏾 hayo makurdi tajwa ni wapiga kura na wakipiga kura ya ndiyo tunafurahi
  9. Amazon Woman

    JamiiForums Tanzania Hivi hii ni hali ya kawaida? Miaka 27 sasa nakojoa kitandani

    Chemsha zile ndevu za mahindi mabichi...kunywa asubuhi na jioni wiki 1 ukiona bado unaendelea hata wiki 2 ila wiki tuu inatosha unaacha kabisaa.
  10. Amazon Woman

    JamiiForums Tanzania Rekodi yangu bora kimasomo haijaniwezesha kupata ajira. Naathirika Kisaikolojia

    Take heart Mjolo mwenzangu..Mungu atafanya njia na kutenda kwa wakati. Umemaliza mwaka gani??
  11. Amazon Woman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuta mawe mawili kwenye kimkoba cha mke wangu

    Binafsi sioni jambo la ajabu labda kwa sababu ya nature ya kazi yangu (Earth science) swala la mawe kwangu kawaida😂😂 nikiona jiwe na tofauti lazima nibebe. Kuna mawe natumia kama decor hasa ya mtoni😋
  12. Amazon Woman

    JamiiForums Tanzania Wasukuma punguzeni huu ulaji wa chakula kingi namna hii

    Ni kweli unajua..july tuu hapo nilikuwa mwadui
  13. Amazon Woman

    JamiiForums Tanzania Nimeponea tundu la sindano kufa. Serikali ichukue hatua, kuna mlipuko unaua kimya kimya

    Hiyo dawa ya kihindi umenunua wapi?! Almint went bad with me..nilijifukiza nikapata nose bleeding ya hatari. Ilikuwa mwaka juzi hadi leo nikipata mafua yanatoka na damu.
  14. Amazon Woman

    JamiiForums Tanzania Wasukuma punguzeni huu ulaji wa chakula kingi namna hii

    Kuna hao wengine niliwakuta maganzo, wanashindana kula chips yai. Nani kala nyingi nne mwingine 5 halafu ndo wanaenda kula ugali.
Back
Top Bottom