Recent content by amatuks

  1. amatuks

    JamiiForums Tanzania Kuna urafiki mkubwa Kati ya pesa na matatizo

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  2. amatuks

    JamiiForums Tanzania Nauza Samsung Note 5

    Hapana.
  3. amatuks

    JamiiForums Tanzania Nauza Samsung Note 5

    Sina simu nyingine ya kuipiga ila ilivyo hiyo hakuna tofauti bado mpya kbs.
  4. amatuks

    JamiiForums Tanzania Nauza Samsung Note 5

    Hiko fresh haina hata mchubuko.
  5. amatuks

    JamiiForums Tanzania Nauza Samsung Note 5

    Wakubwa nauza Samsung Galaxy Note 5 nilinunua kama miezi minne iliyopita. Kwa anaehitaji anijulishe kwa sasa nipo Arusha.Bei Tshs 380,000/= top. 0687702626
  6. amatuks

    JamiiForums Tanzania Kuku Chotara Majike Yanahitajika

    Habari zenu Wakuu. Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji kuku aina Chotara majike yanayokaribia kutaga idadi 10. Nataka kuanza ufugaji. Kwa yeyote anayeuza tafadhali aniPM na bei tufanye biashara. Mimi nipo Dar.
  7. amatuks

    JamiiForums Tanzania Unasumbuliwa na solar? Solution tunayo

    Hizo panel za hapo juu moja watts ngapi? Na nikitaka panel mbili ntahitaji battery ngapi na gharama yake pamoja charger controller plus inveter itakuwa kiasi gani?
  8. amatuks

    JamiiForums Tanzania Noah Inauzwa

    Nauza Noah Field Tourer. Ipo katika hali nzuri sana. Specifications: 1. Make : Toyota 2. Model:Townace Noah Field Tourer 3. Eng Cap : 1998 cc 4. Odometer : 190,000 5. Year of Manuf : 1998 6. Price/Bei : 9,000,000 Maongezi kidogo yapo. 7. Location/Ilipo : Kigamboni. 8. Contacts/Mawasiliano ...
  9. amatuks

    JamiiForums Tanzania Nauza suzuki carry kwa milioni 5 tu

    Haloo wakubwa. Nauza Suzuki Carry kwa milioni tano tu (5m). Ipo Dar ukitaka kuiona muda wowote nitafute kwa no 0687702626. Ipo Kigamboni. Sababu ya kuuza nimeshindwana na madereva. Odometer : 135,000. No T 425 CVV.
  10. amatuks

    JamiiForums Tanzania Garden za kuchezea watoto

    Kama hutojali njoo huku Kigamboni Fun City kwa watoto ndo mwisho wa reli.
  11. amatuks

    JamiiForums Tanzania Nahitaji House Girl

    Nna mke ambaye ni mjamzito na mtoto wa miaka mitatu. Vyovyote akitaka kuja na kuondoka au kukaa poa tu. Nipo Kigamboni.
  12. amatuks

    JamiiForums Tanzania Nahitaji House Girl

    Wakuu bado nahitaji kwa mtu yoyote anaeweza kunisaidia kupata mfanyakazi za ndani tafadhali niPM.
  13. amatuks

    JamiiForums Tanzania Nahitaji House Girl

    Kichwa cha habari kinahusika nipo Dar yeyote anayeweza kunisaidia ani PM tafadhali.
  14. amatuks

    JamiiForums Tanzania FULL TEXT: Hotuba ya KUB, Freeman Mbowe bungeni - Mei 12, 2015

    HOTUBA YA KIONGOZI WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI MHE.FREEMAN AIKAELI MBOWE (MB) AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KATIKA OFISI YA WAZIRI MKUU KWA MWAKA WA FEDHA 2015/2016 (Inatolewa chini ya Kanuni ya 99 (9), ya Kanuni za Kudumu za Bunge Toleo la Mwaka 2013)...
  15. amatuks

    JamiiForums Tanzania Itanichekesha sana kama Boko haram watapoa katika utawala wa Buhari

    Natamani nione jinsi unavyofanania. Unaonekana ni mtu hatari sana kwa Taifa hili. Mtu mdini kama wewe. Unakomaa kujibu kila thread ili uhalalishe ujinga wako.
Back
Top Bottom