Nauza suzuki carry kwa milioni 5 tu

Nauza suzuki carry kwa milioni 5 tu

amatuks

Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
69
Reaction score
10
Haloo wakubwa.
Nauza Suzuki Carry kwa milioni tano tu (5m). Ipo Dar ukitaka kuiona muda wowote nitafute kwa no 0687702626. Ipo Kigamboni. Sababu ya kuuza nimeshindwana na madereva.
Odometer : 135,000.
No T 425 CVV. 2015-01-25 13.29.23.jpg 2015-01-25 13.30.15.jpg 2015-01-25 13.31.25.jpg
 
Kuna biashara moja ya carry ikibuma kwangu ntakuonganisha mteja kwako
 
Back
Top Bottom