Habari zenu Wakuu. Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji kuku aina Chotara majike yanayokaribia kutaga idadi 10. Nataka kuanza ufugaji. Kwa yeyote anayeuza tafadhali aniPM na bei tufanye biashara. Mimi nipo Dar.