Kama title inavojieleza hapo, natafuta mwanamke atakaekua mpenzi na mwisho wa siku mke wa ndoa..
SIFA
Umri: Miaka 20 - 23
Dini: Mkristo itapendeza zaidi lakini si lazima sana
Elimu: Siangalii sana, kikubwa awe na uelewa tu wa ulimwengu tulionao Sasa.
Rangi: Mweupe
Urefu: Mrefu wa wastani
Mwili...