Recent content by Amantogoyoka

  1. A

    JamiiForums Tanzania Msaada hospitali nzuri ya masuala ya uzazi

    Mambo vp jamaa, naomba kuuliza kama hiyo hosp ya Dr Kilonzo Mwz bado inaendelea kutoa huduma na kama yupo daktari bingwa wa magonjwa ya akina mama, nina mgonjwa anayehitaji kumwona dr bingwa wa magonjwa ya akina mama. Asanteni sana nasubiri jibu kutoka kwenu.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Je, mwanamke anayefanya mchezo huu anaweza kuacha?

    Very simple, achana naye mkuu, potezea, mbona wanawake wapo wengi sana, take care.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Anthony Lusekelo 'Mzee wa Upako' awaombea kifo waandishi wa habari

    Mtumishi yeyote wa Mungu anayemwabudu na kumtumikia Mungu wa kweli aliye mbinguni hana wazo wala ujasiri wa kutamka kutoka kinywani mwake maneno makali yenye kutishia uhai wa binadamu wenzake, pia kama sote tunaamini kuwa tuliumbwa na Mungu tukapewa nafsi hai yaani pumzi yenye uhai, basi hakuna...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Fahamu,mwanamke haridhiki wala hatosheki

    Unaposema wanawake hawaridhiki unamaanisha nn?? kama unamaanisha kugegeda basi wewe ndo utakuwa huwafikishi wanakotaka kufika, lkn ukimpandisha kale kamlima ukamfikisha kileleni mbona atakuita baba, yaani wanaridhika kinoma mpaka utamwonea huruma, sasa sijui unataka mpaka ashindwe kuamka...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Tulivyokuwa tukiiba almasi mgodi wa Mwadui na wenzetu kuuawa

    Dah, pole sana mkuu kwa msoto wa maisha, ama kwa hakika story yako imenivutia sana, imenipa somo kubwa sana la kujifunza japo ni story inayotisha inatia huruma na pia inasisimua kwa kuwa in true story, pole sana mkuu.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu mdogo wa mke wangu anataka nini kutoka kwangu?

    Hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  7. A

    JamiiForums Tanzania Hivi hii ni kwangu tu au most long distance relationship ziko hivi?

    Unaweza kuzaa na mwanamke kisha mkaachana kimapenzi mkabaki tu kusaidiana kumlea mtoto, kama ndivyo ilivyo kwenu mimi sioni kama kuna tatizo lolote, lkn kama bado mnaendeleza mahusiano basi hapo mwenzako kesha pata mchepuko.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Yeye nampenda lakini SMS wanazotumiana hapana

    Mapenzi huwa hayaishi kama kweli walikuwa wanapendana, hata wakikwaruzana hukumbukana hata wakiachana siku wakikutana wataanza upya, take care.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Asante Whatsapp umenipatia mpenzi

    Hahahahahahaaaa wewe mwenyewe umekiri kuwa hukuwa na nia naye, na kwamba hakuwa love at first sight so what did you expect from him????????????
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nimegundua ni mke wa mtu, nitamkwepa namna gani?

    Achana kabisa na mke wa mtu, usiposikia unachoambiwa utakuja juta
  11. A

    JamiiForums Tanzania Utafanyaje mkeo anatumiwa nauli ofisini kwako?

    Duuuu pole sana mkuu, huo ndo ukubwa lakini pia kuna uwezekano jamaa alikuwa anamtumia mtu mwingine kabisa kupitia kwa namb ya mkeo, hebu fanya utafiti kwa busara utapata jibu sahihi lakini usiwe na wazo la kumwadhibu au kumshambulia mkeo tafadhali sana mkuu.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Utafanyaje mkeo anatumiwa nauli ofisini kwako?

    Duuu, pole sana mkuu huo ndo ukubwa
  13. A

    JamiiForums Tanzania Leo nimemfumania mke wangu, sijui nifanyaje?

    Inawezekana kabisa mkeo alikuwa mwaminifu sana kwako mpaka alipoanza kuona tabia yako imebadilika pale ulipoanza kuwa na michepuko pamoja na sms za michepuko yako, wanawake huwa ni wavumilivu sana lakini huwa inakera wakikuona hubadiliki tabia ya kuendekeza michepuko, mimi nakushauri mwambie...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mme wa mtu, ila nimempa staff wangu mimba, nifanyaje?

    Pole sana mkuu, jamani hebu tuwe wastaarabu, inakuwaje mwanaume umeshaoa mkeo kisha unafanya uzinzi?? je utajisikiaje mkeo akipewa mimba mwanaume mwingine????? nadhani umeshapata jibu la swali lako???
Back
Top Bottom