Recent content by Amaniwood

  1. Amaniwood

    Muda wowote Nitaeleza kwa kina juu ya wote wanaotaka Kumyumbisha Rais Samia na kuleta Vurugu na kuigawa CCM

    Njaa ni kitu hatari sana, watu kama nyie ndio mlio chelewesha na mnao chelewesha maendeleo ya kweli.
  2. Amaniwood

    Anayejua dawa ya jino, leo sijalala

    Weka tone la mafuta ya karafuu tuu lazima likae sawa unaweza fikiri halipo. Kesho ukazine
  3. Amaniwood

    Naomba kujua Tabia za wanawake wa kijita

    Ndugu wewe ni mwanaume tena timamu usiogope we yatimbe tuu huko mbele utayatimbua kama hayakuwa sawa. Jaribu man usitishee
  4. Amaniwood

    Mbegu bora ya samaki ni ipi na je inapatikana wapi?

    Hiyo mbegu sio mzee nihasara tupu
  5. Amaniwood

    Mbegu bora ya samaki ni ipi na je inapatikana wapi?

    Asilimia kubwa mbegu ni zakichina na zile nzuri hawazitoi
  6. Amaniwood

    Mbegu bora ya samaki ni ipi na je inapatikana wapi?

    Habari wadau wa ufugaji. Kumekuwa na changamoto ya upatikanaji wa mbegu bora ya samaki. Zilizopo nizile ambazo hazikui sana kufikia kiasi cha Sato mkubwa, asilimia kubwa zinakuwa kama perege. Je ni wapi au ni namna gani mfugaji anaweza akawa au akapata mbegu bora ya samaki aina ya Sato inayokuwa...
  7. Amaniwood

    Hospitali ya KKT Nyakato Mwanza inakera kubambika gharama kubwa kwa wanaojifungua

    Habari zenu wapendwa. Nina kero niliyokutana nayo hivi karibuni katika hospitali ya KKKT Nyakato Mwanza baada ya kumpeleka mgonjwa wangu kujifungua. Awali tulipoanza cliniki walitupokea vizuri na kwa ushawishi mkubwa sana kuwa garama zao za kujifungua kwa njia ya kawaida ni Tshs. 56,500 huku...
  8. Amaniwood

    Soma kwa makini: Dalili zinaonesha kuwa huenda mkataba wa bandari ukasababisha vifo vya watu

    Mm nilisha sahau hata swala la ajira hapa nyumbani pamoja na elimu na uzoefu wangu wote bora nikawanufaishe majirani hapa nyumbani nafurahia chakula,midomo na watu wamkumbo.
  9. Amaniwood

    Soma kwa makini: Dalili zinaonesha kuwa huenda mkataba wa bandari ukasababisha vifo vya watu

    Hapa mwamba unachanganya madesa, ujuwe wakati wa Magu taifa ilikuwa ni kama nyumba ambayo inababa mkali akisema kitu ukipinga basi utaishia kwenye sandarusi of which yalikuwa nimaamuzi mabaya pia ila hatuna proof japo tulisema yeye alibariki pia. Kwa hili hata tufanyaje haliwezi kubadilika na...
  10. Amaniwood

    Soma kwa makini: Dalili zinaonesha kuwa huenda mkataba wa bandari ukasababisha vifo vya watu

    Wewe ulimchagulia mama yako nani awe baba yako kabla hujazaliwa? Kama hapana basi kaa kwa kutulia dawa ikuingie vizuri na kama huwezi basi utafanya nn?
  11. Amaniwood

    Soma kwa makini: Dalili zinaonesha kuwa huenda mkataba wa bandari ukasababisha vifo vya watu

    Mm hata hizo bando sihitaji ila wacha DP achukuwe aisee awabane panya buku wote na wengine wapate
  12. Amaniwood

    Soma kwa makini: Dalili zinaonesha kuwa huenda mkataba wa bandari ukasababisha vifo vya watu

    Mm sio muumini wa chama chochote ila kwa hili la DP wamwache mama alifanye tuu sababu hata kama ni wao wangefanya hivyo hivyo isipo kuwa kwenye swala la hisa hapo liwekwe wazi ili watanzania wote wanufaike hata wale ambao hawajawahi kutumia bandari kuagiza chochote nao wanufaike pia. Tumpe...
  13. Amaniwood

    Soma kwa makini: Dalili zinaonesha kuwa huenda mkataba wa bandari ukasababisha vifo vya watu

    Sasa tushike lipi bro mbona Taifa langu linanivuruga ubongo wangu? Ni nchi gani inakosa usalama wa ndani mpaka kufikia nchi nikama inaongozwa na kilanmtu kisa tuu kigezo cha usomi?
Back
Top Bottom