Recent content by amanidaima

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Wenzio bado wanamuona ana maamuzi magumu, wakati linaogopa kusema ukweli
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kinacho muangamiza Lowassa ni Ukimya wake!

    hata wapiga Roba za mbao huwa wanakaa kimya ili ukipita wakupige vizuri. take care.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kinacho muangamiza Lowassa ni Ukimya wake!

    Huyu bwana sijui ana nini!! au Watanzania wenzangu mmelogwa? Ni kipi hasa mnachokihitaji au mtakipata toka kwa huyu mtu? Au watu wenye busara na uwezo wa kuongoza nchi wameisha mpaka mnamchukua mtu ambaye ana utata kwa baadhi ya watu? Mbona Jakaya Kikwete haikuwa hivyo mwaka 2005? Kila mtu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mizengo Pinda, Mzururaji anayelitelekeza Bunge kwa kumchafua Rais Kikwete

    Kun.ya an.ye kuku, ikiwa bata tu utasikia kaharisha. Rais akienda nje wanasema ameenda kutafuta misaada. Wengine wanasema anasafiri sana, akimtuma Waziri wake mkuu mnamsema kaenda kumchafua. JK anafanyiwa fitna nyingi ili agombane na watu wakati mzee wa watu sio mgomvi. Jakaya maliza tu muda...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

    sasa kama alibeba mizigo mnamtaka mumgeuze mwenzenu Kuli? Acheni dharau muacheni apumzike ale mafao yake. Si waziri mkuu mstaafu yule? (Watanzania mlivyo matapeli et mnamuita hivyo)
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Bora wewe, nna jiran yangu ana mke wake ana mimba basi huwa akianzisha tu hizo mada za Lowassa mkewe full kutema mate. Af jamaa bado analazimisha mwanae aitwe Edward, bas mkewe anamwambia "utasababisa niwe naharisha nishindwe hata kumnyonyesha mwanangu"
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mizengo Pinda, Mzururaji anayelitelekeza Bunge kwa kumchafua Rais Kikwete

    mkuu kumbe pinda ni wa Muhimu Kiasi hiki mpaka Bunge linapoteza Dira asipokuwepo eeh. Mi sijuagi kama huyu jamaa ni jembe kiasi hiki. namuonaga mkimya sana. ila yule Waziri wenu wa mambo ya nje ndiye anaemchafua rais wenu na sasa anazunguka na mtoto wake huku akijifanya ametumwa na Mrisho...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mwanamke na kufika kileleni

    Fanya utalii wa ndani tembelea mlima Kilimanjaro then kuna kutembea mpaka kufika kileleni. lakini inabidi umpate afisa utalii mzuri ili akutembeze taratiiibu ili usichoke
  9. A

    JamiiForums Tanzania Majibu ya uchunguzi wangu kwa wanaume wa JF

    Ila nina wasiwasi sana mkunaji hana kucha
  10. A

    JamiiForums Tanzania Wiki mbili tu za ndoa yake kaanza michepuko

    Watu wanatoroka Honey moon kwenda kwenye mchepuko sembuse yeye huyo wiki 2? Tuombeni Mungu tu, mambo mengine ni mazito
  11. A

    JamiiForums Tanzania This Mchepuko is another level to my wife, mpaka najuta

    Humtakii mema mwenzio wewe
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mke amfuma mumewe akijichua

    Ukirud uje na zawadi
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kala Jeremiah Ft R.O.M.A Nchi ya Ahadi

    Nimependa uhusika wa Kala kama mwananchi na Roma kama kiongozi, kizuri zaidi hawajaonyesha upande upi una madhaifu isipokuwa mtu mwenyewe unajiongeza.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kala Jeremiah Ft R.O.M.A Nchi ya Ahadi

    Good Music, ila Roma kaimba kama style ya Professor J
Back
Top Bottom