Sijui asili ya majadiliano haya, lakini kwa mtazamo wangu wengi wa viongozi waliopo madarakani, na pia wanaofanya mambo makubwa sio lazima wawe wana hayo madegirii ya masters and doctorates. Ni kweli elimu inatakiwa, lakini alimu peke yake haina maana. kuna madokta wengi na maprofesa, lakini sio...