Mkuu nafikr umenielewa tofauti sidhan kama taliban wapo kwaajiri ya kuuwa ndugu zao nachojua ni wanataka kuleta utawala wao ambao utakua na misingi ya kimaadiri kutokana na imani yao sio ya kimarekani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.