Recent content by Amaizing Mimi

  1. Amaizing Mimi

    JamiiForums Tanzania Kubwa gani la maadui ulimkubali kwenye Muvi za miaka ya 80-90

    Bill blanks,bolo young, carlos,amprish pul
  2. Amaizing Mimi

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli Ikulu ya Dodoma haipendezi, Ukame na hali ya jangwa kunaifanya isiwe na mvuto wa kimuonekano

    Endelea kuumia maana ndio tayari mambo yameshafanyika
  3. Amaizing Mimi

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu na shukrani kwa ushirikiano

    Kwanza hongera sana.pili pia nikupongeze kwa kuwa mvumilivu kuna kipindi kule x ulioigwa sana spana lakini ulionesha ukomavu.
  4. Amaizing Mimi

    JamiiForums Tanzania Mwamposa anaposifia viongozi wa serikali hajaingiza siasa kanisani, Ila Gwajima anapozungumza ukweli anaingiza siasa kanisani

    Kwani nanihii ameishia form ngapi? Hajasoma MAN,PHYLOSOPH AND RELIGION,
  5. Amaizing Mimi

    JamiiForums Tanzania Gwajima, Wafuasi wa Ufufuo wa Uzima Msiwe na Wasiwasi, Hoja za Kulifungia Hazina Locus Stand, Serikali inapigwa Certiorari na Mandamus, linafunguliwa!

    Kaka wewe si ndio walewale wa kijani ambao leo wamefurahi kusikia hii habari?
  6. Amaizing Mimi

    JamiiForums Tanzania Dk ya 88 Ask. Gwajima 3 CCM 0. CCM wanapoteza muda tu Uwanjani

    Kweli Ccm wengi ni mazuzu.mtu anaongea pumba na yenyewe yanashangilia.
  7. Amaizing Mimi

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwa platform atayobakia nayo kuendeleza chuki kwenye jamii ni lile kanisa lake, mamlaka zimfungie huduma hiyo tuone jeuri anaitoa wapi

    Hata kama akili zake ni fyatu hawafikii watu wa 'sisiemu'.'Sisiemu' ndio fyatu kabisa yaani hamna kitu.Ukimuona mtu anashabikia 'sisiemu' jua kichwani hamna kitu.
  8. Amaizing Mimi

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo Yalaani Unyanyasaji wa Raia wa Afrika Mashariki Nchini Tanzania

    Siku zote hizo ndii mnaibuka leo? Anyway Ombeni Lisu awe prezidaa hayo yote hamtoyasikia.
  9. Amaizing Mimi

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inapata wapi fedha za kualika wageni wote hawa kutoka Kenya?

    Wanakuja kwa ridhaa yao wenuewe na wwanajigharamia.
  10. Amaizing Mimi

    JamiiForums Tanzania EDO: Fainali hii imionyesha Simba wamepita njia za panya kufika fainal

    yeye nani kwani hayo ni mawazo yake.Uto waliishia makundi na hawasemi kitu. Nakwambia wale kina Mabululu kama wangecheza na uto,Uto angechezea za kutosha.
  11. Amaizing Mimi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali Mei 19, 2025

    Anahamisha akili za watu ili tusahau ya Lissu.
Back
Top Bottom