Recent content by Amaholo

  1. Amaholo

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo kigoma kibondo nije mikoa ya kusini yaan Tabora, singida, Dodoma, morogoro mpaka kusini mwa Tanzania, contact nami kwa 0682987315 au 0758260941 au tuma sms utatafutwa kama Almasi
  2. Amaholo

    Kwanini sisi Waafrika ni Masikini?

    Right "We are selfish and very lazy" Hata jiran hutaki kumsaidia so unategemea u gonna win? Never happen at all :), "work hard, love each other, help your fellow and God bless you all the time" Kwan wazungu wapoje? Kila kukicha utasikia wametoa msaada wa vitu mbalimbali, ww hata kiberiti tu...
  3. Amaholo

    Maombi ya heri kwa Lowassa anayeiwakilisha UKAWA

    Damu ya yesu ikufunike daima
  4. Amaholo

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Hivi naomba msaada kwenu "" prediketa "" ni nini?
  5. Amaholo

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo tabora nije njombe, iringa, mbeya, morogoro.... Tuwasiliane kwa simu no, 0759397511 au 0789211114
  6. Amaholo

    Najuta kuoa mwanamke mlokole

    Mmmh pole sana ndg
  7. Amaholo

    Muhudumu huyu vipi?

    Hahaha :)?!
  8. Amaholo

    Uhusiano kati ya kitovu na nguvu za kiume

    Hizo ni imani potofu tu ndugu yangu
  9. Amaholo

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo tabora nije njombe , iringa, mbeya,.. 0759397511 au0789211114
  10. Amaholo

    Mjadala huru: Nini chanzo cha kukithiri kwa ajali za barabarani nchini Tanzania?

    Mambo haya yapo ktk ulimwengu wa roho na tukipeleka kufikiri ktk ulimwengu wa mwili tutakesha pasi na kupata majibu ya kwanini ajali zimezid.
  11. Amaholo

    Mjadala huru: Nini chanzo cha kukithiri kwa ajali za barabarani nchini Tanzania?

    Jamani hivi tujiulize, mbona ajali zimezid tokea mwaka Jana? Ndo kusema hao madereva uzembe, stress vimeanza tokea mwaka Jana?
  12. Amaholo

    Furahisha macho na hii sebule

    Mmmh!!
  13. Amaholo

    Nahitaji kware wakubwa madume na majike

    Hey, unataka wa nyama au wa mayai?
Back
Top Bottom