masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,823
- 16,895
- Thread starter
- #21
Ooh!! Mie mshamba sana hili nilikuwa silijui kabisa? Sasa una andikiwa na daktari au unakula kwa uwezo wako?:glasses-nerdy:
unaandikiwa na dr
Ooh!! Mie mshamba sana hili nilikuwa silijui kabisa? Sasa una andikiwa na daktari au unakula kwa uwezo wako?:glasses-nerdy:
unaandikiwa na dr
Khaa!! Safi sana hiiunaandikiwa na dr
kama unayo tupia namba hapa fasta na bei zake
pia kama una vifaranga sema shingapi
SITAKI MAYAI NATAKA KWARE
kama unayo tupia namba hapa fasta na bei zake
pia kama una vifaranga sema shingapi
SITAKI MAYAI NATAKA KWARE