Recent content by AmaG

  1. A

    JamiiForums Tanzania Shamba linuzwa

    Shamba LA hekari 2 na 1/4 linauzwa millioni 4 lipo MLANDIZI makao mapya ni pazuri
  2. A

    JamiiForums Tanzania Gari iliyomgonga trafiki yakamatwa

    hata mie nimefikiri ivo naona itasaidia,smtmz watu wanachoka kusimamishwa kw muda mrefu kusubilia msafara upite.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa NMB Bank!

    kiukweli ht mie wananikera,unakuta wamenuna kama wamelazimishwa vile jamani.Tawi ambalo nimewah kwenda nikapata huduma vizuri ni tegeta lkn branch nyingi unakutana na mnuno tu
  4. A

    JamiiForums Tanzania King'amuzi cha Digitek

    hata mie nimeona hl tangazo kua hakuna malipo ya mwezi sasa hiyo elfu 6 imetoka wapi?
  5. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yatikisa Mwananyamala Hospitali

    Kazi nzuri.mbarikiwe
  6. A

    JamiiForums Tanzania "Natural Justice" yawabeba Mnyika,Lissu na Nassari

    Nafikiri haikua na haja yakutoa hy taarifa wkt watuhumiwa hawajahojiwa yn ni bora wangenyamaza tu
Back
Top Bottom