Recent content by Amaek

  1. Amaek

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Yupo humu ndio,,, nampa siku tatu,,, baada ya hapo nitaweka namba zake za simu humu.
  2. Amaek

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Kuna jamaa aliniuzia tv inchi 24,, mapatano ilikuwa tv lg 32. Baada ya hapo tulikubaliana anirudishie pesa kidogo mpaka dakika hii amegoma kunimalizia pesa yangu,, ilikuwa mwezi wa pili sasa ni mwezi wa tisa. Nashauri, mnauza bidhaa muwe waaminifu na mnauziwa/kununua bidhaa mtandaoni kuweni...
  3. Amaek

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa Application nzuri ya kuhide sms

    Vault
  4. Amaek

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Ndio
  5. Amaek

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Mkuu fanya kweli basi kesho nipokee mzigo wangu Karatu
  6. Amaek

    JamiiForums Tanzania Hawa ni wachambuzi bora wa mpira kwa sasa Tanzania. Pongezi zao

    Kuna wale waliokuwa wanatangaza times fm, akina Cliford Mario Ndimbo, Joseph Mwakasungura, nk. Kipindi cha Dokodoko za Wizara ya Michezo.
  7. Amaek

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Vipi Ngorongoro upo tayari?
  8. Amaek

    JamiiForums Tanzania Kwa mechi ya jana Madini Fc Vs Simba Sc bado tunasafari ndefu.

    Kumbuka hao Madini wamezoea sana hivyo viwanja vibovu kwa sababu wanacheza ligi daraja la pili ambapo viwanja vingi ni vibovu,,
  9. Amaek

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    Mimi mbona nashindwa??
  10. Amaek

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    We unaipata?
  11. Amaek

    JamiiForums Tanzania Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    Kazi kweli kweli
Back
Top Bottom