Recent content by ALWAYS ON TIME

  1. A

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Niko chato geita mwalimu sekondary language napenda kuhamia mikoa ifuatayo: Iringa Mbeya Morogoro Mwanza Rukwa sumbawanga. Aliyetayari tuwasiane kwa kuni pm tuanze mchakato january
  2. A

    JamiiForums Tanzania Selikali inaweza kulipa mtu mishahara miwili bila kujua?

    How come in reality that some one or more than ten people have a doubled salary in the same month? This is happening in some councils in Tanzania and it seems obvious and normal. But what is strange is that the government is claiming not having enough fund to repay teacher's debts! What if its...
  3. A

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Naomba mwalimu anayetaka kuja mkoa wa Geita wilaya ya Chato mimi niende iringa, rukwa, mbeya, na Njombe. simu 0757918700 au 0674827760
  4. A

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani -Status yake ni equivalent to who?

    Ndio maana tunasisitiza kujenga uchumi wa mataifa yetu hivyo hivyo, huwezi kupata heshma kama wewe ni omba omba!
  5. A

    JamiiForums Tanzania Polisi inawashikilia watu watatu katika sakata la bomu

    no way out we can turn black into white colour, haya mambo yanatoka mbali mno jamani wenye mipango wanatucheka tu huko waliko. kiukweli hawa watu ni greeeeeeeeeeeeeedy!!!!!!!!!!!!!!
  6. A

    JamiiForums Tanzania Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

    tene huyu dada hana ata umri mwingi kuanza siasa za kijambazi za ccm, nishauri alichokuwa anakifanya jukwaani mpaka mwigulu kamshusha ni ushahidi tosha kuwa yeye ni mbuzi aliye kengeuka, dada umasikini wa mawazo ni janga la mtu mmoja mmoja na sio kitaifa, utakufa peke yako kwa ujinga wako
  7. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya SUGU Kupachimba..TBC yarusha habari ya CHADEMA kuhusu Zitto

    what if it is your faults and not the original doc? because the sentence is semantically correct but there are very little grammatical errors which are not our focus in communicative approach, find another reason to hate cdm@the quoted
  8. A

    JamiiForums Tanzania Pamoja na hoja kupigwa Chini kijana hukati tamaa kuendelea kuchangia mdahalo

    your name suggest sth
  9. A

    JamiiForums Tanzania CV ya Profesa Jay (Joseph Haule)

    the writer actually know nothing about politics especialy tanzanian politics, let him vibrate when others dance.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mgomo mkubwa chuo kikuu cha udom kesho watangazwa

    wape route sio kuzenguazengua tu bila sababu ya msingi. sema wafanye ndo wanaendelea kujiuza hivyo au inadhani wapo kwa mama wanaweza kupewa bure hapo? toa maoni lakoni na alternative muhimu ndugu
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mgomo mkubwa chuo kikuu cha udom kesho watangazwa

    mimi nadhani wewe ndo umetumwa uwakashifu wanafunzi wa udom, unataka kuniambia mkuu wa chuo hana yaarifa na hali ya udom upande wa boom usikivu gani unao usema? na huko kwa pm wataenda kwa kibari cha nani? au bado hujui bureaucratic procrdures unjifanya unamsafisha mkuu wako kwa kumpaka mitope...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Angalieni madudu haya ya TBC leo asubui...!

    just like others have told you earlier that there is no new from da channel you are wasting your time watching more than play a game of catching stones, they are pupetts of the so called magamba bro! :embarassed2:
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mbowe atoa tamko: CHADEMA kuisimamisha nchi Machi 25, 2013

    nakuogopa kama ungekuwepo enzi za ukoloni tungekuwa bado tunatawaliwa hadi leo.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Dk Slaa: Tuhuma za Lwakatare kuteka waandishi zimepikwa

    kuna utata wa uhusiano wa articulatory organs(lips) movements na vocal or sounds articulated and heard. I can see that, may be you may also to investigate that,but body language is another area of study from da clip.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Lissu kunguruma kesho Dar Es Salaam kwenye mkutano

    yaani hilo tu ndo umetumia mda wote huo kukoment?
Back
Top Bottom