Recent content by Alvin theodore

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mama kaniambia

    hahah ipende Gambee
  2. A

    JamiiForums Tanzania Jaman msaaadaa

    asante mkuu ngoja nijarib
  3. A

    JamiiForums Tanzania Jaman msaaadaa

    mhm.Ya kwangu ina Ovi store.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ujumbe maalum kwako Charminglady

    Duh! Hyu jamaa hatari
  5. A

    JamiiForums Tanzania Jaman msaaadaa

    =Za mda huu wana chit chat =Hapa ninashida moja =Hiv hii jamii forum APP yake nitaipataje? Sim yangu ni nokia x2 01
  6. A

    JamiiForums Tanzania Text Dialogue;kisa cha komando na mrembo

    Ninouma sana
  7. A

    JamiiForums Tanzania Usiku una mambo...

    Wengine kwenye vigodoro ndo mpango mzima
  8. A

    JamiiForums Tanzania Sijui kuchat JF

    hata mimi cna hiyo app.Ninaipataje
  9. A

    JamiiForums Tanzania Msaada Please! namna ya kuwaondoa ngedere nyumbani kwangu

    Mi naona hapo dawa yao mbwa tu.Kwasababu wewe hautaki kuwadhuru.Tafuta mbwa wakali wakubwa walioshiba kweli kweli,Yani hao masharobaro wataogopa kupiga misele kwako.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nimeishiwa swagz kwa Bint flani

    Poa ngoja nijarib kumkazia
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nimeishiwa swagz kwa Bint flani

    jacqueline
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nimeishiwa swagz kwa Bint flani

    Anamiaka 20 ni mwanafunzi wa chuo.Kiukweli yule bint wa ajabu anapenda movie na mziki tu. Kila ukichomekea swaggz anakuambia yeye hajawai kupenda na hafikirii kupenda. Yeye nimemzid miez kadhaa kama nane hivi. Niliwai kuwa na mpenzi ila sikumangaikia maana dem aliingia lain mwenyewe. Mhm!Naisi...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Nimeishiwa swagz kwa Bint flani

    Kuna msichan flani na mzimia kichiz.Kila nikiingizia swaggz always na feli.Imefikia kipindi naisi ananilingia(kisa anajua nampenda). Wanaforum kiukweli huu ni mwezi wa sita nafanya kazi ya kulalamika tu.Naomben ushauri wenu.Plz
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mume hanifikishi kisawasawa

    kwa hapo yote yanawezekana labda wewe au mumeo ndo anamatatizo.Chamsingi kaeni chini mzungumze.Lazima atakusikiliza naisi hii itaraisisha kutambua tatizo.Kazi itabaki kwako kusolve
  15. A

    JamiiForums Tanzania Mume hanifikishi kisawasawa

    njia kuu foleni
Back
Top Bottom