Eshy m.s
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 2,926
- 1,561
kwani unataka kuni skin?
hamna nataka kujua tu kama ndio wewe
kwani unataka kuni skin?
Chagua nikupeleke wapi ukabarizi jioni ya leo
Me siunanijua??? Kesho kama vp utakuja home?? Usihofu mimi siishi kota
hahahaha kuja home no bwana hamna vitu vya kuvutia basi twende cinema kwa gharama zako lol
Aaah cinema si tushaenda wiki ile? Basi twende bagamoyo, kesho skukuu tutawahi kurudi
hahahaha hapo umenena hebu weka budget yako nione umejiandaaje lol
ngerengere morogoro
Twende bana ukanisaidie ata kutumia izi hela mpenz
hahahaha usijali nipm password yako tu