Recent content by Alva

  1. Alva

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Polisi: Kamanda aliyetoa amri ya kukamatwa wanaowakoholea wanawake ahamishiwa mkoa mwingine

    Daah kamanda wetu kahamishwa[emoji28]...
  2. Alva

    JamiiForums Tanzania Katavi: Wachungaji 3 wanusurika kichapo baada ya kushindwa kumfufua marehemu

    [emoji28][emoji28][emoji28]
  3. Alva

    JamiiForums Tanzania "Kifungo cha nje" kwa "Lulu": Haki imetendeka au ni ‘Mockery of Justice’?

    Kwa Tz hii ukiwa maarufu tuu uko juu ya sheria, watu wako mahabusu mwaka wa tano huu hata hukumu hamna, wengine wanafungwa kifungo cha nje[emoji58]... Sijui tunatengeneza taifa la namna gani
  4. Alva

    JamiiForums Tanzania Dar, Tegeta: Ng'ombe zaidi ya 15 wakutwa wamekufa kwenye gari, washaanza kutoa harufu

    Kwahiyo tunakula vibudu? Subhanallah [emoji52]
  5. Alva

    JamiiForums Tanzania Tujuzane bei ya mafuta ya kula huko ulipo

    Leo nimenunua lita 5 kwa tsh 21,500/- Ova
  6. Alva

    JamiiForums Tanzania Kwanini Benjamin Franklin hakuwa Rais wa Marekani na yupo kwenye noti ya dollar 100 ?

    We jamaa chai sana[emoji28][emoji28][emoji28]
  7. Alva

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tukumbushane Wanasoka wastaarabu na wapole wawapo dimbani

    Michael Carrick
  8. Alva

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa ushauri: Nimejenga nyumba lakini kabla haijaisha nikafukuzwa kazi

    Gharama za ujenzi zimepanda sana kwa sasa, ukipata hiyo 12 huwez kujenga kufikia hatua hiyo, Bei ya nondo iko juu Bei ya Saruji iko juu
  9. Alva

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimejenga nyumba lakini kabla haijaisha nikafukuzwa kazi

    Nyumba ishaisha mkuu, hapo pambana kupaua hata chumba kimoja ili uhamie, mjini kodi inakaba sana, Usithubutu kuchukua mkopo bank maana hiyo nyumba itapigwa mnada, Pambana kivingine na pole kwa masaibu
  10. Alva

    JamiiForums Tanzania Leo Mei 9 kazaliwa Maxence Melo, tumtakie maisha marefu

    Happy birthday to you Boss
  11. Alva

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo afunguka kuhusu bodi ya mikopo

    Nondo kajibu swali lako, rudia kusoma
  12. Alva

    JamiiForums Tanzania Kuheshimu taaluma husika

    Ahsante mkuu
  13. Alva

    JamiiForums Tanzania Kuheshimu taaluma husika

    Habari wana jamvi, kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema "kuheshimu taaluma husika, Juzi tumeona mh mbunge Goodluck Mlimba akiomba radhi kwa kushika sindano hali ya kua yeye si daktari au tabibu husika wa fani hiyo, akachutama na watu tumemsamehe kwa moyo mkunjufu kabisa. Lakini hali hii...
  14. Alva

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kupewa msaada wa gari (lift) ukakosa uhuru?

    Hahahaha daah pole sana mkuu
Back
Top Bottom