Recent content by Alure

  1. Alure

    JamiiForums Tanzania Antony Joshua Vs. Joseph Parker 31/03/2018 [Special Thread]

    Ahsante sana mdau!umetisha
  2. Alure

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa TBWAY 360 wa EATV

    Huyo dogo mshamba sana
  3. Alure

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe: Kwa jinsi Demokrasia inavyokandamizwa, sioni uhai wa Tanzania

    Sijawahi,sitawahi na wala hutakiwi kumuamini mwana ccm yeyote yule ..... wote rangi ni moja .... kesho akija kusema tofauti na hayo msirud kumponda
  4. Alure

    JamiiForums Tanzania Bashe: Umefika wakati Wizara ya Fedha kubadili sera za kibajeti, mzunguko wa fedha umepungua kutoka 22% hadi 1.8%

    Akifika jukwaa la kampeni atakwambia mambo yanaenda vizuri ..... utakiwi kabisa kuwaamini kijani na njano
  5. Alure

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Pete ya ndoa imetumbukia chooni

    Mkuu we umeoa au umeolewa??inakuwaje unashindwa kum control mke wako kwa kitu kidogo km hcho
  6. Alure

    JamiiForums Tanzania Serikali na utumishi mulikeni Mamlaka ya Usimamizi wa Shughuli za Bima (TIRA)

    Hyo TIRA ni nn?na ceo wake ni nani?hii habari km umeamka toka usngzn
  7. Alure

    JamiiForums Tanzania Booster ya radio ya gari aina kenywood glass version inauzwa

    Picha
  8. Alure

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Shilawadu ni cha kulaaniwa

    Akiitwi kibamia tena kinaitwa Kilemutuz
  9. Alure

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu na Mohombi mambo ni motooo!

    Yani fisi wanatupiana mzoga tu
  10. Alure

    JamiiForums Tanzania Shirika la ndege Fastjet lanunua ndege za "mapangaboi" (AT72) ili kuongeza ushindani wa usafiri wa anga Tanzania

    Waboreshe kwanza huduma zao na hayo mengine yafuatie
  11. Alure

    JamiiForums Tanzania Mzimu uliomtafuna Babu Carlo Ancelotti wamnyemelea Jose Mourinho?

    Ujeruman sio Uingereza ....
  12. Alure

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachaga!! huko njiani kwemaaa?

    Nahisi watoto wameumia kwa kuwa hawakufunga mikanda
  13. Alure

    JamiiForums Tanzania Subaru legacy wagon , 3 million

    Lita 1 km 26 .... [emoji30][emoji30][emoji30]
  14. Alure

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza gari, Milioni 60 tu.. Vyuma vimekaza!

    Yani vyuma kukaza milion 60 vikiachia itakuwa shiling ngapi ...?mimi nina milion 40 kama upo tayari nipm tufanye biashara
  15. Alure

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yautupilia mbali ushahidi ulioletwa na Nassari na Lema wa madiwani kuhongwa

    Yani ulikua unasubiria kabisa huyo nyeti angekamatwa wakati unajua alikua anatekeleza yale yanayoendelea katika biashara mpya ya utumwa hapa Tanzania ....... wakati mwingine msiumize vichwa vyenu kusibiria vitu ambavyo haviwezekan
Back
Top Bottom