Recent content by alteza

  1. alteza

    Samuel Binagi: Mgombea nafasi ya mwenyekiti mtaa wa Migombani awaweka viongozi wa CCM kata na wilaya mfukoni

    SAMUEL BINAGI: MGOMBEA WA UENYEKITI WA MTAA WA MIGOMBANI ANAYEJINASIBU KUWAWEKA MFUKONI VIONGOZI WA CCM KATA YA SEGEREA NA WILAYA ILALA ujumbe huu uwafikie wanachama wote wa ccm tawi la migombani, viongozi wa ccm tawi la migombani, kata ya segerea na wilaya ya Ilala pamoja na viongozi wa ccm...
  2. alteza

    Uchaguzi wa Yanga usinigombanishe na JPM: Palina Conrad

    *UCHAGUZI WA YANGA USINIGOMBANISHE NA JPM- PALINA CONRAD* Leo ni siku ambayo naweza sema nimepokea simu nyingi na jumbe fupi kutoka kwa watu mbali mbali ambao wengine nilikuwa sijawahi kuwasiliana kwa muda hadi nikawa naiogopa simu yangu wengi walinishangaa kwa taarifa iliyotolewa kwa waandishi...
  3. alteza

    Mnaogombea nafasi chama cha mawakili(tls) chukueni na hili

    KWA WAGOMBEA WOTE NAFASI MBALI MBALI CHAMA CHA WANASHERIA TANGANYIKA (TLS) kwanza nipende kuwapongeza kwa kuonesha nia ya kuwatumikia mawakili wa Tanganyika. Ila lazima wote tukumbushane kwamba huwezi kuwa wakili bila ya kupita shule ya vitendo (LST). hivyo mbali ya mawakili ambao ndio...
  4. alteza

    Julius J. Juilus: Mtanzania pekee kwenye mashindano ya ujasiriamali wa kimtandao Afrika

    Tanzania imepata nafasi ya kipekee kuwakilishwa na ndugu Julius J. Julius, Mkurugenzi Wa (www.clickncart.co) katika mashindano ya Ujasiriamali Afrika. Mashindano haya ambayo Ndugu Julius pekee kutoka Tanzania anashiriki ni ujasiriliamali Wa kimtandao(digital entrepreneurship) kama Mtanzania...
  5. alteza

    Julius J. Julius: Mtanzania pekee kwenye mashindano ya ujasiriamali wa kimtandao Afrika

    Tanzania imepata nafasi ya kipekee kuwakilishwa na ndugu Julius J. Julius, Mkurugenzi Wa (www.clickncart.co) katika mashindano ya Ujasiriamali Afrika. Mashindano haya ambayo Ndugu Julius pekee kutoka Tanzania anashiriki ni ujasiriliamali Wa kimtandao(digital entrepreneurship) kama Mtanzania...
  6. alteza

    Naombeni CV ya Miss Tanzania 2016

    Kumekuwepo na habari nyingi kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii kwamba miss tz 2016 ana miaka kumi na nane na anashahada ya sheria. Anaejua ukweli atusaidie
  7. alteza

    Ole Sendeka, walipeni Uhuru mishahara kwanza, achaneni na Zitto na Lowassa

    Nssf itawatokea puani act Wazalendo/Tanzania.....
  8. alteza

    Zitto Kabwe anapaswa kushtakiwa kutokana na ufisadi huu wa NSSF

    Mchange huna cha kujibu...maana ndo umekuwa msemaji Wa zzk
  9. alteza

    Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    mkuu asante sana...mungu akubariki nimekesha leo kupakua vitabu vyote
  10. alteza

    Tanzia: Mbunge wa Ukonga, Eugene Mwaiposa afariki dunia

    jimbo la segerea lilishagawanywa makongoro yupo segerea
  11. alteza

    Mtoto wa Mabere Marando akutwa na kashfa ya UFISADI chuo kikuu Mlimani

    tusipo wathibiti hawa walafi katika ngazi ya huku chini baadae watakuja kulitia taifa hasara na hii ni kuwaijulisha public kwamba huju kijana hafai na anapigwa kutokana na uroho na urafi wa madaraka na kuiba pesa sasa mnaosema hapa siyo mahala pake nawashangaa maana mafisadi wengi tanzania...
  12. alteza

    Mtoto wa Mabere Marando akutwa na kashfa ya UFISADI chuo kikuu Mlimani

    NILIPANGA KUMPIGIA KURA MARANDO LAKINI KATIKA HAYA, AMEIKOSA KURA YANGU! Na Ocampo wa Desa. Habari za wakati huu wana UDSL? Ni matumaini yangu kuwa wote tuwazima na tuko tayari kukijenga kitivo chetu kwa kukipatia viongozi makini, wenye uwezo, wasio na majivuno, dharau na wenye weledi wa...
  13. alteza

    CCM Wilaya ya Mbalali wakanusha uhuni uliofanywa na Ibrahim Mwakabwangasi

    hamna mtu anayeweweseka tunawekana sawa tu ili ujue na tuache kushabikia filamu za maigizo
  14. alteza

    CCM Wilaya ya Mbalali wakanusha uhuni uliofanywa na Ibrahim Mwakabwangasi

    press release mkuu watoa tamko rasmi na kuwapa waandishi wa habar na mbalali waandishi wapo mkuu labda kama hujui tasnia ya habari hufanya vip kaz yake
  15. alteza

    CCM Wilaya ya Mbalali wakanusha uhuni uliofanywa na Ibrahim Mwakabwangasi

    CCM WILAYA YA MBARALI muda huu wameitisha press release na wana Habari ili kukanusha uhuni ulio fanywa na Ibrahim Mwakabwangasi Kusafirisha Vijana wa Mbarali Kwenye Kata na Kuwatwisha Jina la Waendesha Boda Boda Ili khali wengi wao wakiwa hawajui hata kuendesha hizo pikipiki. Rujewa ziliondoka...
Back
Top Bottom